Kuna taarifa kuwa mwezi umeonekana Tandahimba jana tarehe 01/05/2022

Takukuru hawataki ujinga wao tayari wanasherekea leo
Screenshot_20220502-121508_Twitter.jpg
 
Tanzania sijui kuna shida gani kwenye kila nyanja ni kizungumkuti tu yaani...!
Wanaodai katiba mpya wanaweza kuwa na hoja ya msingi! Tangu mwaka jana Eid ilivyopindishwa licha ya mwezi kuandama na kuonekana maeneo mengi hapa nchini nilianza kuonja harufu ya siasa hadi kwenye dini. Matokeo yake tulikula Eid mwezi ukionekana kuwa na siku 3.

Kwa hii ya sasa uwezekano kuwa mwezi umetoka jana pia ni mkubwa sana japo sijauona kutokana na hali ya mawingu mawingi upande wa magharibi majira ya saa moja kasoro jioni
 
Shida ni bakwata hawawezi kutangaza mwezi mpaka washauriane na makao makuu sisiemu.

Viongozi wa Sisiemu wakikataa kutokana na ratiba za chama pamoja na mambo ya protocol Iddi inaahirishwa siku inayofata.

Shida ni Bakwata kua chini ya chama mpaka katika mambo muhimu yanayohusu imani.

Yaani Iddi ya Tanzania inaamuliwa na wanasiasa sio viongozi wa dini.
 
Kwa kweli kuna shida pahala.
 
Wanabeba dhima kubwa sana kwa maana ni dhambi kubwa sana kufunga siku ya Eid.
 
Hata kule kenya waliuona lakini kwenye taarifa ya bakwata walisema haukuonekana kenya wala zanzibar, anyway siyo mbaya kukamilisha siku 30.
 
Ni mbaya mkuu coz ni haramu kufunga siku ya Eid kiongozi.
 
Back
Top Bottom