Kuna tabia gani ulikuwa nayo ila umejikuta tu haufanyi tena

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Mm nilikuwa na uraibu wa karata na drafti ilikuwa haipiti siku sijafanya hii michezo ila kwa sasa hata nikikuta watu wanacheza sitamani tena kucheza kabisaa.
 
Mimi tabia ya kulia lia hasa mtu akiniudhi. Siku hizi nimekuwa gaidi hata wanaoniudhi wanaumia wao coz wanaona silii na walitegemea nilie.
 
Mm nilikuwa na uraibu wa karata na drafti ilikuwa haipiti siku sijafanya hii michezo ila kwa sasa hata nikikuta watu wanacheza sitamani tena kucheza kabisaa.

Mimi KUHONGA. nlikuwa na Uraibu wa Kuhonga sasa nimeacha.
 
Mm nilikuwa na uraibu wa karata na drafti ilikuwa haipiti siku sijafanya hii michezo ila kwa sasa hata nikikuta watu wanacheza sitamani tena kucheza kabisaa.
Wakati nina mke mmoja, Nilikuwa napiga punyeto 10 times/day but toka nimeongeza michepuko yangu mitatu aaah mambo safi nimeacha kabisa.
 
Kusema ukweli, nilikuta tu naacha hata hapa nawadanganya!
 
Mimi uzinzi, lakini nimeacha. Mwanamke yeyote kwa sasa ni kama dadangu.
 
Mimi na MAKU,MAKU na mimi. na sijui lini nitaacha.
 
Back
Top Bottom