Kuna takwimu lazima watu wa kanda ya ziwa lazima wawepo

Yaani kuna takwimu watu wa kanda ya ziwa lazima wawepo tu yaani watu wa kanda wao choo ni kama paka na panya sijui kwanini wanapenda kujisaidia porini hawa watu sijui kiufupi usitaarabu kanda ya ziwa ni No

View attachment 3541632
Mimi ni Mjaluo niliyekulia Kanda ya Ziwa naijua vzr kuliko hata kule kwenye asili yetu Homa Bay Nyanza Province .. Watu km Wasukuma ni watu wastaarabu sn huwezi linganisha na kabila za kimasikini zinazopatikana mikoa ya Lindi na Mtwara..
 
Wewe na hao watu wa kusini nani masikini? Mpumbavu namba moja wewe
 
Kwanza

Kuna kabila wapumbavu na wenye roho kuwazidi wajaluo? Nyie ni wapumbavu na wapuuZi namba moja Afrika
 
Kuna nini kusini zaidi ya kuchimba Ming'oko na Mibao mnashindwa hata kulima viazi mnachimc viazi pori .. zaidi ya kula ngozi za ng'ombe mna nini ? shukuruni wahamiaji wa kisukuma wenye makundi makubwa ya ng'ombe wameleta neema xa nyama kusini..
 
Kwanza
Kuna kabila wapumbavu na wenye roho kuwazidi wajaluo? Nyie ni wapumbavu na wapuuZi namba moja Afrika
Luo ni smart tribe limetoa mpaka Rais wa taifa kubwa duniani sio sawa na wewe Mmatumbi..
 
Tiga nkire tu maana hata hivo kanda ya ziwa ni kubwa
 
Yaani kuna takwimu watu wa kanda ya ziwa lazima wawepo tu yaani watu wa kanda wao choo ni kama paka na panya sijui kwanini wanapenda kujisaidia porini hawa watu sijui kiufupi usitaarabu kanda ya ziwa ni No

View attachment 3541632
Kati ya mikoa 15 iliyopo hapo kuna mkoa mmoja tu wa kanda ya ziwa. Ila kuna mikoa mi3 ya kanda ya Kaskazini. Watu wa Kaskazini na Zanzibar umeshindwa kuwasema inakomaa ma kamda ya ziwa🤔
 
Yaani kuna takwimu watu wa kanda ya ziwa lazima wawepo tu yaani watu wa kanda wao choo ni kama paka na panya sijui kwanini wanapenda kujisaidia porini hawa watu sijui kiufupi usitaarabu kanda ya ziwa ni No

View attachment 3541632
- kwa sababu sisi ni wakulima, tunarutubisha aridhi.
  • fatilia tu kanda ya ziwa au alipo msukuma inaongoza kwa uzarishaji wa mazao ya chakula na biashara.
  • na unaposema wasukuma na kanda ya ziwa hawana cho huo ni uongo.
  • Mim najua watu wa vijijin africa nzima huwa hawajengi choo hujisaidia vichakan kwa sababu ni wakulima na wafugaji, makazi yao niya mda.
Kwani huhamahama kwa kutafta marisho ya mifugo na maeneo ya kilimo.
MWISHO: kujisadia kichakan ni starehe pia. unakua umejiachia. Ila iwe emergence.
 
Back
Top Bottom