Kuna takwimu lazima watu wa kanda ya ziwa lazima wawepo

Kuna takwimu lazima watu wa kanda ya ziwa lazima wawepo

Huwezi kukuta mji wa mtu kule kanda ya ziwa hauna choo.
Kwanza kanda ya ziwa hakuna pori. Karibu maeneo yote asilimia kubwa ni makazi ya watu.
Geita, Katoro, Runzewe, n.k.
Huko mambo ya kunya porini na kujifutia majani kawaida sana.
Mwanza mjini kule kwa maskini vyoo labda waanze kuchimba sasa.
Maeneo ya Mikoa ya Pwani hasa Mtwara, Mikindani, fukwe za vijiji vya Lindi, Mafia, Rufiji Delta (wanaita visiwani), Bagamoyo, na Tanga walikuwa wanakunya baharini hakukuwa na vyoo.
Naona sasa wamepunguza wamewaachia wapemba na waunguja kunya baharini.
Waha wa mpakani na waburundi walio zamia ukanda wa maghadibi na ukanda wa ziwa nao wanapenda kunya porini hovyo.
 
Mleta mada ni mshamba sana,ivi kuna raha gani kujisaidia chooni? Yani ninye kisha niiname niweke maji kwenye jivi kisha niflash! Huo ni uchafu wa kiwango cha juu mno na ni kinyaa. Haya mambo tumeletewa na wazungu mnajiona bora eti. Nyonokweng' wee mlenatuja. Onene ahang' wane bhiya gete gozenga choloni.
 
Mwelage toletunda mwijiko☺️
 
Back
Top Bottom