Kuna takwimu lazima watu wa kanda ya ziwa lazima wawepo

Kuna takwimu lazima watu wa kanda ya ziwa lazima wawepo

Mimi miaka yote kama 8 toka nimujue leo dada sikujua kama ni msukuma

Hata kwenye nyuzi za wasukuma akina kiranga , nyaningabu sikuwahi kumuona akichangia
Basi hamkuongea na dada yenu vizuri nyie🤣 kwahiyo kumbe nyuzi zipo hakuna haja ya kunzisha nyingine sasa tutag na kijana Holoholo
 
Yaani kuna takwimu watu wa kanda ya ziwa lazima wawepo tu yaani watu wa kanda wao choo ni kama paka na panya sijui kwanini wanapenda kujisaidia porini hawa watu sijui kiufupi usitaarabu kanda ya ziwa ni No
Wanarutubisha ardhi
 
Basi hamkuongea na dada yenu vizuri nyie🤣 kwahiyo kumbe nyuzi zipo hakuna haja ya kunzisha nyingine sasa tutag na kijana Holoholo
Anzisha tu kwa mazingira tofaut

Miaka ya nyuma humu jukwaan wasukuma tulikuwa wengi zaid humu ndani

Ilikuwa ni kila siku nyuzi za kushambuliwa usukuma wetu na kusifiwa

Alipoingia Magufuri madarakani tulikoma kila siku tukawa tunakanwa
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huu ustarabu wa choo ni aibu tupu! Ukiingia chooni kila mtu anajua fulani anaenda kunya hata kama ni kukojoa tu. Ya nini watoto kujua kuwa hata watu wazima hunya? Porini/vichakani/baharini/ziwani/mtoni ndio faragha murua. Ya nini kila mtu ajue umeingia/umetoka chooni? Kule kijijini mkiwa vichakani unawazuga wenzako kuwa kuna kioata cha ndege unaenda kucheki kama kuna mayai au kuna matunda unaenda kucheki kama yameiva au unajitenga kwa siri kwenda pembeni, unajificha kisha unashusha kimba au uharo! Si heshima kuonekana mtu mzima unakunya
 
Back
Top Bottom