Kuna takwimu lazima watu wa kanda ya ziwa lazima wawepo

Kuna takwimu lazima watu wa kanda ya ziwa lazima wawepo

Owatogilwe awa sukuma ango ?!! Wize otolwe
Classmate 😂😂 naleseka nnhoo 🤣

200.gif
 
Unawafahamu mang'ati wewe!
Kwao ni mwiko kujenga/kuchimba choo. Wao kawaida akibanwa na haja kubwa, anaingia zizini kujisaidia.
Na kawaida mbwa akimuona mang'ati anazama zizini, lazima azengee kwa nyuma na pale mang'ati amalizapo haja zake, mbwa anapita na kinyesi.

Huwezi kukuta mji wa mtu kule kanda ya ziwa hauna choo.
Kwanza kanda ya ziwa hakuna pori. Karibu maeneo yote asilimia kubwa ni makazi ya watu.

Nimeishi ukaguruni huko unakuta mji hauna na wala hawafikirii kuwa na choo zaidi ya kushusha mizigo yao porini.
Nimeishi kanda ya ziwa hawa watu hawathamini vyoo
 
Pugu miaka miwili ya Advance gogo nilikuwa nakata vyoo vya kanisani(roma na ukwata),jidi vichaka vya pondi na huku vichakani pembezen mwa kanisa chini inapita rami ya kwenda chanika sijawahi kukanyaga beto(chooni)
 
Katika mikoa 15,Kanda ya ziwa ni mikoa mitatu tu geita,mara na simiyu sasa kwa nini uiseme Kanda ya ziwa na sio hao watu wa visiwani wenye mikoa minne kwenye orodha!!?? ACHA chuki kwa ardhi tukufu ya Kanda ya ziwa
 
Sina chuki na wasukuma

Back
Top Bottom