Kuna tatizo gani Barabara ya mwendokasi ya mbagala?

Kamavinga

Member
Joined
Nov 7, 2021
Posts
43
Reaction score
62
Kwa ninavyofaham, barabara ya mwendokasi ya kuelekea mbagala ilishakamilika kwa 100% kwa zaidi ya mwaka sasa, lakini mpaka sasa haijaanza kutoa huduma. Badala yake, sasa imekua ndo barabara kuu ya bodaboda.

Inasikitisha na kutia hasira, kuona kitu ambacho kingetoa msaada kwa maelfu ya wananchi wa manaohangaika na usafiri, kimekaa 'idle'. Waliopewa dhamana ya kusimamia wapo wapi? nini tatizo? Hii nchi mbona inachukulia poa wananchi kiasi hiki?

Kinachozidi kushangaza, wakati project hii haijaanza 'kunfunction', project nyingine za Gongo lamboto na Tegeta nazo zimeshaanza. Huu upuuzi bogus leadership utakoma lini?
 
Hakujabbasi za mwendo kasi zilizopo hazitoshi na serikali imegoma kununua maana umiliki na usimamizi wa huo mradi haueleweki.mara dart mara udart!
 
sasa wanaendelea kujenga ili iweje? Hela zetu wananchi zinakua misused na hatuna la kufanya
 
Kwanza wameijenga hovyo. Vituo kama vibanda vya kuku. Kwa nini wasingetumia design ya station ya BRT 1?
Ni kweli, mfano kituo cha pale mivinjeni, bati (kwenye paa) sehem ya kuingilia/kutokea abiria lilikua linaning'inia. imagnine vituo hata havijaanza kutumia, vimeshaanza kuharibika..inaonyesha ni kiasi gani vimejengwa kwa poor standards.
 
Kwa ninavyofaham, barabara ya mwendokasi ya kuelekea mbagala ilishakamilika kwa 100% kwa zaidi ya mwaka sasa, lakini mpaka sasa haijaanza kutoa huduma. Badala yake, sasa imekua ndo barabara kuu ya bodaboda.

Inasikitisha na kutia hasira, kuona kitu ambacho kingetoa msaada kwa maelfu ya wananchi wa manaohangaika na usafiri, kimekaa 'idle'. Waliopewa dhamana ya kusimamia wapo wapi? nini tatizo? Hii nchi mbona inachukulia poa wananchi kiasi hiki?

Kinachozidi kushangaza, wakati project hii haijaanza 'kunfunction', project nyingine za Gongo lamboto na Tegeta nazo zimeshaanza. Huu upuuzi bogus leadership utakoma lini?
Sawa
 
Wanasubiria ya gongo la mboto ikamilike ndipo wamwage mabus ya mbagala na gongo la mboto kuwa mpole subira.
BRT ya gongo la mboto inakwenda speed ya jet wanamalizia kuezeka vituo kwa sehemu kubwa barabara inakamilika.
Hongera mama
 
Back
Top Bottom