Kuna tatizo gani kwa msichana kutaka kunenepa? Maana naona wengi wananishangaa

Kabisaaaaa. Kama hana chura unene sio kabisa kwa sababu asije shangaa pale atakapokuwa kibonge anakosa hata wa kumpa habari gani.

Ila nimejikuta napata kicheko. Hahahahaaaaa.
Hahahaha aisee, akikosa wa kumpa salamu, atapata yangu, mimi hua siangalii chura, naangalia wenye kitambi, hasa nikikiona kinavyocheza cheza ndo nachanganyikiwa kabisa[emoji85] [emoji125]
 
Hahahahaa. Unaniangusha swahiba ujue sasa unapenda nini hiko. [emoji15]

Hivyo ajinenepee tu salamu yako ipo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahaa. Unaniangusha swahiba ujue sasa unapenda nini hiko. [emoji15]

Hivyo ajinenepee tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itapendeza zaidi, Alichokiumba Mungu na kukibariki hakitakiwi kudharauliwa[emoji39]
 
Hahaha. Ila vingine sisi binadamu tunaviongeza wenyewe ujue swahiba.
Sawa swaiba, ila tatizo binadamu wanatabia za kubadilika kama kinyonga, hivi umesahau kipindi cha English figure misambwanda ilikua inadharaulika sana? Hebu jaribu kumkumbuka yule mwanamama wa kule South alivyonyanyaswa na wazungu kwa kuwa na Msambwanda tukuka?[emoji85]
Mimi nimeshtuka mapema zikiisha zama za misambwanda zinakuja za wenye vitambi[emoji41] [emoji125]
 
Ila swahiba angalia usije jikuta uko peke yako, unayependa hayo manyama uzembe. Hahahahaaa.
 
Hahaha haitadhuru sababu atakuwa wa peke yangu, alafu ujue hata aliyeanza kuijua siri ya misambwanda alibezwa hivi hivi[emoji40]

Njooni kwangu nyinyi nyote mlio vibonge na wenye vitambi nami nitawapa heshima tukuka[emoji39]
 
Hahahaa. Kwani swahiba na mie kibonge.[emoji12]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ninachojua kila mtu huwa anatamani kile ambacho hana. Hii ni tabia ya asili ya binadamu. Na inapotokea umepata kile ulichokuwa unatamani utabadilisha tena mahitaji utataka kingine.

Huu unene unautamani kwakuwa hujawahi ku-experience unene na siku ukiupata utatamani kingine. Kila la kheri katika safari yako ya unene..

Baadhi ya tips za kunenepa ninazozijua..
-Kupata muda mwingi wa kupumzika
-Kuridhika na maisha, hali yoyote..wewe unaridhika tuu.
-Kulakula mara kwa mara, hasa vyakula vyenye uwiano wa virutubisho.
nk nk
 
Back
Top Bottom