ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
Kwani Jokate ni mrefu? Mbona naona kama ni mfupi au macho yangu?!
Huyu anaongelea Jokate wa kwenye TV ....lakini kenyewe live kako kiduchuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Jokate ni mrefu? Mbona naona kama ni mfupi au macho yangu?!
Watu wengi ukiwaona kwenye tv unafikiri watu basi, kumbe vimtu. Siku moja niko bar flan mchana napata chakula wakaja watu wa Mizengwe, aisee yani kwenye tv wanaonekana wakubwa, nilivyowaona nikashangaa sana, ni wadogo balaa.Huyu anaongelea Jokate wa kwenye TV ....lakini kenyewe live kako kiduchuu...
kula bagga saana chips xa kutosha utakuwa kama huyo halafu utaleta Uzi kwa kuomba kunguza uneneWapendwa mambo zenu
Natumai kila mtu yuko poa
Jamani mimi nina mwili wa kawaida ila ni mrefu (size kama ya jokate) ambao huwa unapungua ila haujawahi kuongezeka kuwa vile ambavyo mimi napenda niwe. Mimi napenda kuwa mnene lakini mnene wa kawaida nisishangaze watu na mwili wangu uwe na muelekeo sio nyama zitune tuu bila mpangilio hata nguo zishindwe kunipendezesha jaman.
Ila kinachonishangaza ni kwamba watu wengi wanaonifahamu wananiona kama vile siko sawa kwa kupenda kuwa mnene.
Kwani kuna kosa gani jaman la mtu kutaka kuwa na mwili wenye nyama zilizonona vizuri? Je nakosea kwa kutaka kuongeza mwili wangu.
Na anayejua namna ninavyoweza kufanya ili noingeze mwili wangu anisaidie maarifa maana hili jambo sidhani kama litaweza kuondoka akilini mwangu mpk nilikamilishe.
Nataka kuwa kama huyu
View attachment 636275
Hivi mkuu wewe ni mchaga?Yee tee yee Ruwa ngaamba. info lyarabya nungun
Na saiv kanenepa hee anafanana km kapipa makeup na camera zinawasaidia sanaWatu wengi ukiwaona kwenye tv unafikiri watu basi, kumbe vimtu. Siku moja niko bar flan mchana napata chakula wakaja watu wa Mizengwe, aisee yani kwenye tv wanaonekana wakubwa, nilivyowaona nikashangaa sana, ni wadogo balaa.
Juzi juzi hapa nilibahatika kuonana na waziri mmoja, kwenye tv anaonekana mkubwa, live nikamuona mdogo sana. Vile vile hata Mukulu nilimuona live hivi majuzi sikutegemea kama hua yuko vile.
Ila jokate hata kwa tv anaonekana ni mdogo, ni mbegu mbaya, sidico.
Wapendwa mambo zenu
Natumai kila mtu yuko poa
Jamani mimi nina mwili wa kawaida ila ni mrefu (size kama ya jokate) ambao huwa unapungua ila haujawahi kuongezeka kuwa vile ambavyo mimi napenda niwe. Mimi napenda kuwa mnene lakini mnene wa kawaida nisishangaze watu na mwili wangu uwe na muelekeo sio nyama zitune tuu bila mpangilio hata nguo zishindwe kunipendezesha jaman.
Ila kinachonishangaza ni kwamba watu wengi wanaonifahamu wananiona kama vile siko sawa kwa kupenda kuwa mnene.
Kwani kuna kosa gani jaman la mtu kutaka kuwa na mwili wenye nyama zilizonona vizuri? Je nakosea kwa kutaka kuongeza mwili wangu.
Na anayejua namna ninavyoweza kufanya ili noingeze mwili wangu anisaidie maarifa maana hili jambo sidhani kama litaweza kuondoka akilini mwangu mpk nilikamilishe.
Nataka kuwa kama huyu
View attachment 636275
Kuzimu tena!? Kwani unene ni dhambi?Inategemea na kunenepa kwa kiasi gani. Unene ukipitiliza si mzuri ni chanzo cha kukaribisha magonjwa mengi ya hatari ambayo yanaweza kabisa kukupeleka kuzimu.
Kuzimu tena!? Kwani unene ni dhambi?
Nieleweshe kidogo mkuu
Hapo nakubali kifo kinakuwa karibu na si kuzimu.Okay magonjwa kama ya moyo na blood pressure ambayo mara nyingi chanzo chake ni unene uliopitiliza yanaweza kabisa kusababisha kifo jje.
Hapo nakubali kifo kinakuwa karibu na si kuzimu.
Unajua mie mnene so niliogopa hapo kuzimu
Ila kifo hapo naelewa sasa.
Asante Mkuu
Uko sawa kabisa si wanene wote wanakuwa na magonjwa hayo. Na wengine hujitahidi kufanya mazoezi na kula health food ili kujaribu kuyaepuka. [emoji1431][emoji1417]
Shosti hilo umbo ni kazi ya genes(vinasaba). Kama kwenye familia yenu hakuna vinasaba hivyo hutaweza kupata umbo hilo. Anyway, nisikukatishe tamaa, kazania kula na kunywa sana.Kula ugali mwingi, kila siku jioni pata bia mbili au tatu(kama wewe u mnywaji), baada ya miezi miwili utaanza kuona nguo zako uzipendazo zinakukataa.Mie nilifanyaga hivyo 2004-2006 nikawa bonge mpaka watu wakanisahauWapendwa mambo zenu
Natumai kila mtu yuko poa
Jamani mimi nina mwili wa kawaida ila ni mrefu (size kama ya jokate) ambao huwa unapungua ila haujawahi kuongezeka kuwa vile ambavyo mimi napenda niwe. Mimi napenda kuwa mnene lakini mnene wa kawaida nisishangaze watu na mwili wangu uwe na muelekeo sio nyama zitune tuu bila mpangilio hata nguo zishindwe kunipendezesha jaman.
Ila kinachonishangaza ni kwamba watu wengi wanaonifahamu wananiona kama vile siko sawa kwa kupenda kuwa mnene.
Kwani kuna kosa gani jaman la mtu kutaka kuwa na mwili wenye nyama zilizonona vizuri? Je nakosea kwa kutaka kuongeza mwili wangu.
Na anayejua namna ninavyoweza kufanya ili noingeze mwili wangu anisaidie maarifa maana hili jambo sidhani kama litaweza kuondoka akilini mwangu mpk nilikamilishe.
Nataka kuwa kama huyu
View attachment 636275
Kunenepa ni rahisi sana, ila jiandae kisaikolojia maana mwili bonge una matatizo yake, hata kutawaza tu ni shida kubwa. Waatu watakupenda ukiwa na nguo, na ukiwa uchi uwe tayari kuinamishwa mara zote, maana wengi wa wanaopenda mabonge wanapenda matak0, na ili mtu alifaidi tako lazima alishike alimeng'enyue akishamwaga anakuchukia vibaya anakuona majasho tu na unatia kinyaa, mpaka **** imsimame tena ndiyo akupende. Unene utauchoka haraka sana, na itakubidi ufanye kazi ngumu sana kuuondoa, na pengine isiwezekane tena. Fikiria vizuriWapendwa mambo zenu