Kabisaaaaa. Kama hana chura unene sio kabisa kwa sababu asije shangaa pale atakapokuwa kibonge anakosa hata wa kumpa habari gani.Naona swaiba umemsisitiza "chura" napita tu[emoji40] [emoji125] [emoji125]
Na we utakuwa bongeMmh. Nyieeeeee.
Hahahaha aisee, akikosa wa kumpa salamu, atapata yangu, mimi hua siangalii chura, naangalia wenye kitambi, hasa nikikiona kinavyocheza cheza ndo nachanganyikiwa kabisa[emoji85] [emoji125]Kabisaaaaa. Kama hana chura unene sio kabisa kwa sababu asije shangaa pale atakapokuwa kibonge anakosa hata wa kumpa habari gani.
Ila nimejikuta napata kicheko. Hahahahaaaaa.
Hahahaaaa.Na we utakuwa bonge
Hahahahaa. Unaniangusha swahiba ujue sasa unapenda nini hiko. [emoji15]Hahahaha aisee, akikosa wa kumpa salamu, atapata yangu, mimi hua siangalii chura, naangalia wenye kitambi, hasa nikikiona kinavyocheza cheza ndo nachanganyikiwa kabisa[emoji85] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaa. Unaniangusha swahiba ujue sasa unapenda nini hiko. [emoji15]
Hivyo ajinenepee tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha. Ila vingine sisi binadamu tunaviongeza wenyewe ujue swahiba.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itapendeza zaidi, Alichokiumba Mungu na kukibariki hakitakiwi kudharauliwa[emoji39]
Swahiba naomba nitenge muda uwe unanifundisha hii lugha aisee. Nimejikuta naipenda tu.Hahaha nkiki tse meku
Sawa swaiba, ila tatizo binadamu wanatabia za kubadilika kama kinyonga, hivi umesahau kipindi cha English figure misambwanda ilikua inadharaulika sana? Hebu jaribu kumkumbuka yule mwanamama wa kule South alivyonyanyaswa na wazungu kwa kuwa na Msambwanda tukuka?[emoji85]Hahaha. Ila vingine sisi binadamu tunaviongeza wenyewe ujue swahiba.
Ni mfupi kama Barnaba ClassicKwani Jokate ni mrefu? Mbona naona kama ni mfupi au macho yangu?!
Ila swahiba angalia usije jikuta uko peke yako, unayependa hayo manyama uzembe. Hahahahaaa.Sawa swaiba, ila tatizo binadamu wanatabia za kubadilika kama kinyonga, hivi umesahau kipindi cha English figure misambwanda ilikua inadharaulika sana? Hebu jaribu kumkumbuka yule mwanamama wa kule South alivyonyanyaswa na wazungu kwa kuwa na Msambwanda tukuka?[emoji85]
Mimi nimeshtuka mapema zikiisha zama za misambwanda zinakuja za wenye vitambi[emoji41] [emoji125]
Hahahahaaa. Sawa Swahiba ahsante bana. Nitawatafuta.
Hahaha haitadhuru sababu atakuwa wa peke yangu, alafu ujue hata aliyeanza kuijua siri ya misambwanda alibezwa hivi hivi[emoji40]Ila swahiba angalia usije jikuta uko peke yako, unayependa hayo manyama uzembe. Hahahahaaa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahahaha aisee, akikosa wa kumpa salamu, atapata yangu, mimi hua siangalii chura, naangalia wenye kitambi, hasa nikikiona kinavyocheza cheza ndo nachanganyikiwa kabisa[emoji85] [emoji125]
Hahahaa. Kwani swahiba na mie kibonge.[emoji12]Hahaha haitadhuru sababu atakuwa wa peke yangu, alafu ujue hata aliyeanza kuijua siri ya misambwanda alibezwa hivi hivi[emoji40]
Njooni kwangu nyinyi nyote mlio vibonge na wenye vitambi nami nitawapa heshima tukuka[emoji39]
[emoji120] [emoji120]Hahahahaaa. Sawa Swahiba ahsante bana. Nitawatafuta.