Kuna tatizo gani kwa msichana kutaka kunenepa? Maana naona wengi wananishangaa

Huyu anaongelea Jokate wa kwenye TV ....lakini kenyewe live kako kiduchuu...
Watu wengi ukiwaona kwenye tv unafikiri watu basi, kumbe vimtu. Siku moja niko bar flan mchana napata chakula wakaja watu wa Mizengwe, aisee yani kwenye tv wanaonekana wakubwa, nilivyowaona nikashangaa sana, ni wadogo balaa.

Juzi juzi hapa nilibahatika kuonana na waziri mmoja, kwenye tv anaonekana mkubwa, live nikamuona mdogo sana. Vile vile hata Mukulu nilimuona live hivi majuzi sikutegemea kama hua yuko vile.

Ila jokate hata kwa tv anaonekana ni mdogo, ni mbegu mbaya, sidico.
 
kula bagga saana chips xa kutosha utakuwa kama huyo halafu utaleta Uzi kwa kuomba kunguza unene
 
Na saiv kanenepa hee anafanana km kapipa makeup na camera zinawasaidia sana
 
Inategemea na kunenepa kwa kiasi gani. Unene ukipitiliza si mzuri ni chanzo cha kukaribisha magonjwa mengi ya hatari ambayo yanaweza kabisa kukupeleka kuzimu.

 
Okay magonjwa kama ya moyo na blood pressure ambayo mara nyingi chanzo chake ni unene uliopitiliza yanaweza kabisa kusababisha kifo jje.

Kuzimu tena!? Kwani unene ni dhambi?
Nieleweshe kidogo mkuu
 
Okay magonjwa kama ya moyo na blood pressure ambayo mara nyingi chanzo chake ni unene uliopitiliza yanaweza kabisa kusababisha kifo jje.
Hapo nakubali kifo kinakuwa karibu na si kuzimu.
Unajua mie mnene so niliogopa hapo kuzimu
Ila kifo hapo naelewa sasa.
Asante Mkuu
 
Uko sawa kabisa si wanene wote wanakuwa na magonjwa hayo. Na wengine hujitahidi kufanya mazoezi na kula health food ili kujaribu kuyaepuka. [emoji1431][emoji1417]

Hapo nakubali kifo kinakuwa karibu na si kuzimu.
Unajua mie mnene so niliogopa hapo kuzimu
Ila kifo hapo naelewa sasa.
Asante Mkuu
 
Hakika, mm bila kuwa na zile nyama nyama kwa ajili ya mr. Naona kama anashika vimfupa
Teh
Uko sawa kabisa si wanene wote wanakuwa na magonjwa hayo. Na wengine hujitahidi kufanya mazoezi na kula health food ili kujaribu kuyaepuka. [emoji1431][emoji1417]
 
Shosti hilo umbo ni kazi ya genes(vinasaba). Kama kwenye familia yenu hakuna vinasaba hivyo hutaweza kupata umbo hilo. Anyway, nisikukatishe tamaa, kazania kula na kunywa sana.Kula ugali mwingi, kila siku jioni pata bia mbili au tatu(kama wewe u mnywaji), baada ya miezi miwili utaanza kuona nguo zako uzipendazo zinakukataa.Mie nilifanyaga hivyo 2004-2006 nikawa bonge mpaka watu wakanisahau
 
Yaani utoke ujoketi mpaka huyo kibonge, mwambie jamaa atafute mwingine tu.
 
Muulize huyo mjanja wako anapenda nini, usije ukapoteza sifa aliyokupendea
 
Naona unaelekea upande ambao dunia kwasasa inajitahid kuacha,hiv hujiuliz y gym zmekua nying skuhiz,...kiufup mdada ukishakua bonge u sexy unapungua.manake miziwa itakua mikubwa sana,kitambi pia pia kuanzia kiunon kuja had kwenye mapaja patakua na minyama nyama ambayo mim bnafs hua nikishampiga cha kwanza namwona mvuto hakuna,kipotabo bwana aisee ukikavua ngua yaan ile pichu ilivyojichonga yaan hapo hapo unasimama
 
Kunenepa ni rahisi sana, ila jiandae kisaikolojia maana mwili bonge una matatizo yake, hata kutawaza tu ni shida kubwa. Waatu watakupenda ukiwa na nguo, na ukiwa uchi uwe tayari kuinamishwa mara zote, maana wengi wa wanaopenda mabonge wanapenda matak0, na ili mtu alifaidi tako lazima alishike alimeng'enyue akishamwaga anakuchukia vibaya anakuona majasho tu na unatia kinyaa, mpaka **** imsimame tena ndiyo akupende. Unene utauchoka haraka sana, na itakubidi ufanye kazi ngumu sana kuuondoa, na pengine isiwezekane tena. Fikiria vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…