Kuna tatizo gani kwa msichana kutaka kunenepa? Maana naona wengi wananishangaa

Una tatizo la kutokuridhika na hali yako...mara tu utakopojisahaulisha na kinachokukera utanenepa sana.
Au kuwa unakula mtori kila siku saa nne asubuhi kwa mwezi mmoja tu utajikuta kila sehemu imefumuka hadi kitumbua kitahamia nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…