Kuna tatizo gani TANESCO? Nchi nzima umeme umekatika

Kuna tatizo gani TANESCO? Nchi nzima umeme umekatika

Nchi gani ndugu? Mbona huku kwetu umeme upo? Au sis hatuko tanzania?
 
Walisema kukatika katika kwa umeme ndio basi! 😆
Wapuuzi sana hawa CCM.
 
Ni kweli Leo kwenye saa Moja usiku umekatika maeneo mengi ya nchi,nimewasiliana na watu wa mikoa minne tofauti na wao wanasema umeme umekata muda huo
 
Eneo lako mkuu..labda ni matengenezo. Tanesco wanajiamini sana siku hizi,hua napata message wakiwa wanakata kwa mda mrefu au ukijiunga na link ya magroup ya maeneo uliyokuepo. Kusema kweli sihaba umeme umepungua sana kukatika.
 
Ndugu mteja, tunaomba radhi kukosekana kwa huduma ya umeme leo 28.05.2026 kwa mkoa wa Mwanza. Mafundi wanashughulikia ili kurejesha huduma.
 
Huku kwetu umeme upo since morning haujakata viuno. Sema eneo lako na sio nchi nzima hata kama tunachukia serikali ya mafisadi na wauaji. Au unataka na wewe ututoe kwene reli
 
Back
Top Bottom