Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
| 2015 -2017 | Mhe.Dkt Harrison George Mwakyembe (Mb) | |
| 2017 - 2019 2019 - 2020 2020 - 2021 2021 - 2022 2022 - 2022 2022 - 2023 2023 - | Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb) Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) Mhe. George Simbachawene (Mb) Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb) |
Nimekosa digrii ya 3 hivi hivi najiona. Ndumbaro aliahidi Kila Mtanzania atapata digrii ya Katiba.Kwa hiyo Ndumbaru amekosa mlungula/ Per diem za kutoa Elimu ya Katiba kwa Watanzania?
[emoji1787][emoji1787]Nimekosa digrii ya 3 hivi hivi najiona. Ndumbaro aliahidi Kila Mtanzania atapata digrii ya Katiba.
Ndumbaro ni ngumbaroKwa hiyo Ndumbaru amekosa mlungula/ Per diem za kutoa Elimu ya Katiba kwa Watanzania?
Yani hajakaa hata miezi sita.Ni hiyo tu?..umesahau Wizara ya Maliasili na Utalii?..yaani MKWE anazungushwa kama PIA!
Ukiona hivyo ujuwe hao wanaiendesha wizara hii kimazowea, sasa mambo ni "dynamic", waziri inatakiwa uwepo wake wizarani uibadili utendaji kazi wa kimazowea. Awe na authority ya kufanya Reforms, si kimazowea tu.Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni.
Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani?
Mawaziri wa Katiba na Sheria kuanzia mwaka 2015
2015 -2017 Mhe.Dkt Harrison George Mwakyembe (Mb) 2017 - 2019
2019 - 2020
2020 - 2021
2021 - 2022
2022 - 2022
2022 - 2023
2023 -Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb)
Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb)
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb)
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb)
Mhe. George Simbachawene (Mb)
Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb)
Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb)
Wanahujumu nia njema ya mama Samia ili aachane na katiba mpya....Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni.
Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani?
Mawaziri wa Katiba na Sheria kuanzia mwaka 2015
2015 -2017 Mhe.Dkt Harrison George Mwakyembe (Mb) 2017 - 2019
2019 - 2020
2020 - 2021
2021 - 2022
2022 - 2022
2022 - 2023
2023 -Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb)
Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb)
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb)
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb)
Mhe. George Simbachawene (Mb)
Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb)
Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb)
Keshamaliza kazi ya kuuza misitu hataki lawama.Ni hiyo tu?..umesahau Wizara ya Maliasili na Utalii?..yaani MKWE anazungushwa kama PIA!
Kwa mipango mizuri aliyokuwa nyo Ndumbaro, wananchi WOOTE wa Tanzania, Bara na Visiwani, ilikuwa wapate degree ya sheria kuielewa Katiba, kabla ya kujadiliana.Kwa hiyo Ndumbaru amekosa mlungula/ Per diem za kutoa Elimu ya Katiba kwa Watanzania?
Mbona hujataja AridhiKwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni.
Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani?
Mawaziri wa Katiba na Sheria kuanzia mwaka 2015
2015 -2017 Mhe.Dkt Harrison George Mwakyembe (Mb) 2017 - 2019
2019 - 2020
2020 - 2021
2021 - 2022
2022 - 2022
2022 - 2023
2023 -Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb)
Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb)
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb)
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb)
Mhe. George Simbachawene (Mb)
Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb)
Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb)
PorojoUkiona hivyo ujuwe hao wanaiendesha wizara hii kimazowea, sasa mambo ni "dynamic", waziri inatakiwa uwepo wake wizarani uibadili utendaji kazi wa kimazowea. Awe na authority ya kufanya Reforms, si kimazowea tu.