Maseto
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 944
- 545
Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utendaji kazi kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Watumishi wengi wanakaa nyumbani bila kwenda Kazini au wanaenda kuripoti asubuhi na kuingia mitaani kufanya shughuli zao binafsi.
Nampongeza JPM kwa kutokutoa vibali vya kuajiri watumishi wapya isipokuwa kada adimu kama vile za afya au walimu.
Hizi kada zingine watumishi wanakaa bure bila kazi kwenye taasisi.