Black Mirror
JF-Expert Member
- Oct 17, 2019
- 919
- 1,192
Na hiki ndicho kinapaswa kufanywa na watumishi wote wa Umma, asante watumishi wa Dodoma. Mtu ana miaka mitano kwenye ajira leo , baada ya miaka mitano unapata punguzo la kodi elfu 30 tu huku gharama za maisha zikipanda kila sekunde. Ukipata fursa nenda kafanye yako we mtumishi hii serikali haina huruma na wewe.