Shangaa na wewe.Kwahiyo kwakua we unaajira/biashara unataka wenye uhitaj wa ajira waendelee kukosa kisa kuna watu hawawajibiki? Kwann usingeshauri wachukuliwe hatua na nafas zao zichukuliwe na wenye uhitaji
MbinafsiShangaa na wewe.
Pepo wa upumbavu na ulofa tokaNimekuwa nafuatilia mwenendo wa utendaji kazi kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Watumishi wengi wanakaa nyumbani bila kwenda Kazini au wanaenda kuripoti asubuhi na kuingia mitaani kufanya shughuli zao binafsi.
Nampongeza JPM kwa kutokutoa vibali vya kuajiri watumishi wapya isipokuwa kada adimu kama vile za afya au walimu.
Hizi kada zingine watumishi wanakaa bure bila kazi kwenye taasisi.
Unashida kwenye ubongo wewe si bure!Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utendaji kazi kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Watumishi wengi wanakaa nyumbani bila kwenda Kazini au wanaenda kuripoti asubuhi na kuingia mitaani kufanya shughuli zao binafsi.
Nampongeza JPM kwa kutokutoa vibali vya kuajiri watumishi wapya isipokuwa kada adimu kama vile za afya au walimu.
Hizi kada zingine watumishi wanakaa bure bila kazi kwenye taasisi.
Mie mama wa nyumbani tu, huo uafisa labda wa mapishi hapa nyumbani kwangu.Siyo umbe,wewe kama ni Afisa hapo Jiji chukua hatua