Black Mirror
JF-Expert Member
- Oct 17, 2019
- 919
- 1,192
Uyo JPM amewaongrzea mishahara hao watumishi? Amewalipaa malimbikizo ya madai yao?Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utendaji kazi kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Watumishi wengi wanakaa nyumbani bila kwenda Kazini au wanaenda kuripoti asubuhi na kuingia mitaani kufanya shughuli zao binafsi.
Nampongeza JPM kwa kutokutoa vibali vya kuajiri watumishi wapya isipokuwa kada adimu kama vile za afya au walimu.
Hizi kada zingine watumishi wanakaa bure bila kazi kwenye taasisi.
Sina tatizo lolote binafsi.Napongeza kutokuajiri kwa sababu wangeenda kurundikana bila kazi
Siyo umbe,wewe kama ni Afisa hapo Jiji chukua hatua
I’m right here hubbyHommie huyu mke wetu nadhani kapata mchepuko wa kisukuma...
I love you too sweetheartI’m right here hubby
💓💕I love you too sweetheart
Atakuwa nani yarabi,,Hommie huyu mke wetu nadhani kapata mchepuko wa kisukuma...
Doooh shemejiI’m right here hubby
[emoji489][emoji481][emoji176][emoji177]
Mkurugenzi naye utaambiwa yuko kwenye kikao.... Kumbe ako gesti na mke wa mtuAtakuwa nani yarabi,,
Sema maisha haya kama watendaji wanaacha ofisi watu wanakosa huduma hiyo sio sawa kabisa. Lugha za "ametoka kidogo" zinachosha.
Sema nikikuta hivyo nampandia mkurugenzi anihudumie yeye.