Kuna tatizo kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Umewahi kuoa sana maana kwa uandishi wako ilitakiwa umalize shule kwanza
 
Humu jf utoto mwingi nataka nikwambie kitu mke bora hapimwi kwa kuwa na mtoto au asiye na mtoto .mke bora tabia zake kwa ujumla kuwa na mtoto sio kigezo cha kukosa sifa za kuolewa.unaweza oa asie na mtoto tabia zake ovyoo kibisa.tafakali sana
 
Oa ulivyompa mimba ulitegemea nn. Huyo mtoto akizaliwa atalelewa na mama mwenye stress je mtoto atapata malezi mazuri afya yake je. Kuliko kutuuliza madhara ya kuoa binti mwenye mtoto ungeandika madhara ya mtoto anaelelewa na mama peke yake direct ungefahamu ukimwacha huyo dada na mimba yako mtoto wako anaathirika vipi
 
Ninavyoumia,moyo unataka kugawanyika vipandevipande.wanaume wanakimbia mimba,haohao wanapinga tusiolewe na wanaume wanaotaka kutufuta machoz.Dunia hii...mwema ni mwenyez Mungu tu
 
Hivi huu utetezi tunauhitaji kweli????🙄🙄🙄

Embu mtuache tupumue 😏
 
Mkuu,kuoa ama kutokuoa ni uamuzi wako.Wazazi kwenda kujitambulisha au kutokwenda ni uamuzi wao.Wewe ushamjaza mimba so unachotaka ni nini?Nenda waambie wazazi wa binti kwamba wazazi wako bado hawajaafiki kwa hio wewe utaendelea kukaa na binti yao na kuendelea na maisha kuhusu mali n.k. hilo litakuwa ni swala la wakati mwingine baada ya wazazi wako kukubali kwenda.Ni swala la muda tu.

Ushauri wa ujumla ni huu.Mimi wakati naoa wazazi waliniambia kwamba Mke ni wangu,yakizuka yakuzuka ni mimi ndo nitahangaika.SO kwa ufupi.OA TU kama UMEPENDA
 
Wanaume wakiacha tabia ya kuwapa Wanawake Mimba na kuwakimbia hakutakuwa na Single Mother kabisa hivyo basi chacho cha Single Mother ni Wanaume.
Hawakimbiwi bali tabia zao za kutegesha mimba bila mipangilio ndio zinakera!
 
topiki zako zote ngono

  1. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Single mother wengine hawana makosa

    Kwa kifupi sio kila single mother sio wife material! Wengine wapo vizuri tu na wana tabia njema ila kuna aina yetu ya wanaume tunapenda kuzalisha na kulala mbele haijalishi wewe ni wife material ama la!huwa hatupendi kubanana muda wote na mwanamke mmoja kama roho !kwahiyo oweni tu single baby...
  2. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Kuna uwezekano mwanamke asipate mimba?

    Kuna uwezekano wa mwanamke kuepuka kushika mimba akiwa na tabia ya kujisafisha kwa maji punde tu baada ya tendo? Wataalamu njoeni kabla hakijaumana [emoji28]
  3. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Ushauri wa kijinga na imani potofu

    Kumekuwa na wimbi kubwa la kikundi cha wahuni wanaopotosha wanawake kwamba kila mwanaume ni lazima awe na wanawake wengi hata kama ameshaowa! Naomba kundi hilo lipuuzwe maana tupo wanaume wenye staha na hofu ya Mungu na tunadumu na mwanamke mmoja tu. Na pia ni wanaume marijali kabisa tumeamua...
  4. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Ushawahi kususiwa mwanamke!

    Binafsi nimeshawahi kususiwa wanawake wanne kwa nyakati tofauti ila ndoa ilinikosakosa kama Mbappe alivyokosa penati jana! Binafsi mbinu nazotumia kukwepa ndoa hizo za dharura ni kuwapokea kwanza bila kuleta ubishi na baada ya hapo ni kupiga matukio hadi anasepa mwenyewe [emoji28] Vipi wewe...
  5. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Kuna haja sasa ya serikali kuingilia kati mapenzi

    Kutokana na wimbi la wanandoa kujinyonga,kujiua,kuuwa,kujeruhi wenza wao! Ni dhahiri sasa serikali iingilie kati na kuweka sheria kabla ya ndoa ni lazima wapenzi wapimwe akili na uwezo wao wa kusuhulisha mambo! Na ukionekana dishi limeyumba hutaruhusiwa kuishi na mweza yeyote na endapo...
  6. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

    Wanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka [emoji28]yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua ka ugomvi unampiga kimoja cha fasta huwa wanaenjoy sana! Hakuna raha kama kufanya mapenzi wakati...
  7. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Kuchezwa na machale!

    Kama siku 5 zilizopita nilikuwa nachezwa na machale yaani jicho langu la kulia lilikuwa linanicheza kuashiria kwamba kuna balaa soon litanitokea! Nikawa naomba mwenyezi Mungu aniepushe! Juzi usiku nikaota nilikuwa naongea na Jamaa yangu kisha wakatokea migration tulikuwa tunaongea Kiswahili...
  8. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Nashindwa kumuacha aende

    Nipo kweli mahusiano almost two years sasa! Sema kweli huyu binti nampenda lakini tabia zake hazifai kuwa mke hata kwa kubahatisha! Kasoro zake! Mtu wa visirani na visasi yaani akimchukia mtu hata ukimpatanisha hataki amani tena na mtu huyo! Asilimia 95% ya ubongo wake unategemea watu...
  9. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Hongera kwa wote walioamua kuoa

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni Aisee kulala na mwanamke kitanda kimoja ndani ya wiki moja tu sio mchezo yaani kwangu mimi ni kero ya hali ya juu sana na inahitaji uvumilivu wa kiwango cha mwendo kasi! Imagine kwa wanaoishi na wake kitanda kimoja miaka na miaka wanastahili tunzo aisee...
  10. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Kisa kilichonifanya nikatafakari sana!

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012 nilikuwa nimerudi kutoka nchi X nikafikia Dar es Salaam walipo ndugu na Jamaa kwa vile asimilia kubwa ya ndugu wengi wapo Dar es Salaam! Sema ukweli ilikuwa ni muda mrefu sijarudi nyumbani na mimi kawaida yangu huwa siagi naposafiri wala sitoi taarifa ninapowasili...
  11. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Ukiachwa halafu hauna mahusiano mengine

    Yaani ukiachwa halafu hauna backup utataabika sana unajua ni ngumu sana kupata demu kama huna demu! Hakikisha unakuwa na backup (sio mchepuko)ili siku ukisikia nyuma geuga unageuka na backup yako kazi inaendelea. Hakikisha unamuweka backup kwenye friend zone siku yale yajayo yanafurahisha...
  12. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Nikishiba tu tatizo lingine linajitokeza

    Sijui nini tatizo, nikishiba tu chakula vizuri shibe yote inaenda kwenye mnara unasoma 5G kuanzia saa mbili usiku hadi nitapolala usingizi kidogo afadhali. Papuchi napiga mara 4 kwa wiki lakini haisaidii chochote yaani natamani iwe mara 7 kwa wiki lkn kuowa sitaki kabisa kusikia huo utopolo...
  13. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Hii ni kwa wanaume waliokamilika

    Kwa wanaume waliokamilika na wanaojitambua kweli kweli mwanamke anaachwa kwa sababu kuu mbili tena bila vikao wala mjadala wala ushauri! 1:Mwanamke msaliti hastaili msamaha wa aina yeyote fukuzia mbali akakutane na wasaliti wenzao! 2:Mwanamke mchawi fukuzia mbali atauwa kizazi chako chote...
  14. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Hivi mnatatua vipi changamoto za wapenzi wanaotaka kuwekwa status?

    Uki date na vi slay queen [emoji73] akili zao zote wamewekeza kwenye mitandao ya kijamii! Mama ya kijinga jinga ya kupostiana ndio changamoto kubwa sana aisee! Nilikuwa na tabia ya kupost ili aone yeye tu! Sasa siku hizi na wao wamestukia anataka umpost kisha ufanye screenshoot watu wame view...
  15. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Ukichelewa kuoa unapunguza Muda

    Naam! Ukichelewa kuoa unapunguza muda wa maumivu na mateso ya kujitakia bila sababu! Kama ni watoto utawapata kwa single mother! Nikifikisha miaka 45 ndio nitaanza kujifikiria kama kutakuwa na ulazima wa kuoa ama hapana! Kama waliooa wake zao kila siku wanapishana maghetto ya wajuba mimi ni...
  16. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Hakika ukiwekeza Akili utapata furaha ya kudumu

    Ukiondoa akili yako kwenye mapenzi na ukaiwekeza kwenye kutafuta pesa,kutatua changamoto za watu,kujenga msingi mzuri kwa kizazi chako kijacho!maumivu ya mapenzi utayasikia wasafi tv! Yaani mapenzi iwe kama unataka kwenda msalani kujisaidia tu ukibanwa na haja maana hakuna kiumbe anawaza kunya...
  17. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Baba alivyokuwa hai

    Sisi tumezaliwa na baba mmoja ila watoto tupo milioni kadhaa!baba alivyokuwa hai alituaminisha kwamba sisi watoto wake tuna maisha mazuri sana na sisi ndio watoto pekee tunaishi vizuri ndio maana tunachukiwa sana na majirani hapa mtaani kwa hivyo tusiogope tujivunie kwa hilo!na sisi kama watoto...
  18. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Hivi mtu anajifunza kuwa na roho mbaya?

    Bado sijapata jibu kama mtu anazaliwa na roho mbaya ama anajifunza kuwa na roho mbaya. Yaani sipati picha kuna mwanamke nilishawahi kutoka nae kimapenzi hata ukimsaidia ndugu yako wa damu anakasirika hadi ugomvi jambo hilo lilinishangaza sana
  19. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Ukiona Demu wako anakuacha kisha anarudiana na Ex wake...

    Ukiona mwanamke yeyote amekuacha na badala a move on na mtu mpya amemrudia ex wake ujue ni kwamba wewe umeshindwa kuvunja rekodi aliyoweka Ex wake. Maisha atayafurahia sana endapo utaweka sehemu recod ambayo mtu hawezi kuivunja kirahisi. Duniani kulikuwa na wafalme wengi sana na hadi sasa wapo...
  20. [IMG alt="Muuza simu used"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/450/450365.jpg?1503838519[/IMG]

    Ukitongoza kwa style hii utaonekana mshamba

    Kuna mazuzu wanadhani akimtongoza mwanamke kwa kumponda jamaa yake kwamba hafai basi yeye itakuwa ni rahisi yeye kumpata mwanamke huyo! Hapo itakuwa ni rahisi sana mtongozaji kupigwa chini na kuonekana boya! Ukimpenda mwanamke panga mashambulizi yako binafsi mfanye akuone bora na sio mwanaume...
 
Umenikosha roho ndugu yangu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] akili zako unazijua mwenyewe walahi
 
Akiko za kuambiwa,changanya na zako!

Kama alishawahi kukufanyia ubaya au ulihisi Tania zisizofaa kwake unaruhusiwa kumuacha!
Lakini kama amekuwa mwema kwako na haujaona kasoro yoyote please naomba usimuache huyo dada. Usimhukumu mtu kwa history iliyopita,wait hubadilika!! Unaweza kumpata bikra kabisaa na akawa kichomi kwako.

Trust me watu wanaopigwa vita Sana,ndo hao hufanyika masada mkubwa Sana.
Ndoa ni yenu ninyi wawili na so wengine
Sikiliza moto wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…