Kuna tatizo kwa Waisilamu. Safari hii lisijirudie

Kuna tatizo kwa Waisilamu. Safari hii lisijirudie

Kutoka 12:11...
Exodus 12:11-14
[11]And thus shall ye eat it; with your loins girded, your shoes on your feet, and your staff in your hand; and ye shall eat it in haste: it is the LORD'S passover.
Tena mtamla hivi; mtakuwa mmefungwa viuno vyenu, mmevaa viatu vyenu miguuni, na fimbo zenu mikononi mwenu; nanyi mtamla kwa haraka; ni pasaka ya BWANA.
[12]For I will pass through the land of Egypt this night, and will smite all the firstborn in the land of Egypt, both man and beast; and against all the gods of Egypt I will execute judgment: I am the LORD.
Maana nitapita kati ya nchi ya Misri usiku huo, nami nitawapiga wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri, wa mwanadamu na wa mnyama; nami nitafanya hukumu juu ya miungu yote ya Misri; Mimi ndimi BWANA.
[13]And the blood shall be to you for a token upon the houses where ye are: and when I see the blood, I will pass over you, and the plague shall not be upon you to destroy you, when I smite the land of Egypt.
Na ile damu itakuwa ishara kwenu katika zile nyumba mtakazokuwamo; nami nitakapoiona ile damu, nitapita juu yenu, lisiwapate pigo lo lote likawaharibu, nitakapoipiga nchi ya Misri.
[14]And this day shall be unto you for a memorial; and ye shall keep it a feast to the LORD throughout your generations; ye shall keep it a feast by an ordinance for ever.
Na siku hii itakuwa ukumbusho kwenu, nanyi mtaifanya iwe sikukuu kwa BWANA; mtaifanya iwe sikukuu katika vizazi vyenu vyote, kwa amri ya milele
 
Usikimbilie tu kusema pumba, kama hujui kaa kushoto au nenda kwa Google. Mwanzo wa pasaka ni kile kipindi misri wanapigwa yale mapigo kumi.
Acha kudanganya watu hapa sio kanisan
 
Bila amani utaswalia wapi mkuu,kawaulize yemeni na siria kama wanajua hata msikiti una rangi gani?
Amani ukiwa nayo huwezi kujua dhamani yake! Tuilinde amani yetu
 
Kila ifikapo sikukuu ya Eid, iwe Eid ya kuchinja (Udhu-hiya) au Eid ya baada ya Ramadhani (Eidil - Fitir). BAKWATA hualika viongozi wa Serikali kuja kwenye baraza la Eid, cha ajabu zaidi sio kwa kiongozi mualikwa wala Mashekhe mada kubwa huwa ni kuzungumzia AMANI.

Sasa najiuliza waisilamu ndio watu wa vurugu kwenye nchi hii mpaka kila sherehe yao kuzungumze mada ya amani na tafaruku za nchi?

kwanini sikukuu ya kuchinja yasitolewe mawaidha ya Kisa cha kuchinja kutoka kwa Baba wa Imani Nabii Ibrahimu. Badala yake wanaalikwa viongozi kuja kuzungumza mambo ya Amani na kutolewa mifano ya nchi zilizo athiriwa na vita? Mbona sherehe za Pasaka na X-Mas hatuoni mada hizi za Amani zikizungumzwa?

Niwaombe viongozi wa BAKWATA, tumechoka na hizi taratibu zenu za kuja kuzungumza mambo ya Amani badala ya kuzungumza mafunzo husika ya siku hiyo. Hata kwenye mashindano ya visomo vya QUR'AN uwanja wa Taifa, anakuja kiongozi anazungumza mambo ya Amani. (sijui kuna tatizo gani hapa)

Na vipi mtu asiye muisilamu akawa mgeni rasmi kwenye mambo ya imani?. Yani kwa mfano sisi tupo kwenye sherehe ya pasaka kisha utuletee kiongozi wa serekali ambae ni muisilamu aje kuwa mgeni rasmi kwenye imani yetu ya kikristo, ilihali hafahamu chochote kuhusiana na pasaka.

Niombe viongozi wa serekali wasihusishwe kwenye shughuli za imani ya dini kama ''wageni rasmi'' kwasababu serekali haina dini. Na wakihusishwa basi wahudhurie kama watu wa kawaida. TUMECHOKA

View attachment 1520292

MASUFI HAWANA CHA KUONGEA KATIKA DINI, kwa hiyo mada zinawafaa zaidi. Nami naonelea waendelee hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom