Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Uzuri wa train system inaweza kupokea abiria wengi kwa wakati mmoja na pia zinaenda umbali mrefu let's say ingeweza kufika hadi dodoma au Morogoro. The issue is the infrastructure system ambayo ni high maintenance kutokana na ubovu wa mabasi ya mwendokasi, poor coordination pamoja na miundombinu ya malipoNahisi kwa jinsi mazingira yetu yalivyo,train ingekua headache zaidi maana ikiondoka usubiri irudi.. Hata zikiwa mbili zinapishana bado ingekua shida sana ukizingatia mavituo yenyewe yapo jirani, kwa mtazamo wangu mabasi nadhani ni sawa ila usimamizi ndio sio poa
Hadi Dodoma? Sasa hiyo ingekuwa ni commuter train au nini?Uzuri wa train system inaweza kupokea abiria wengi kwa wakati mmoja na pia zinaenda umbali mrefu let's say ingeweza kufika hadi dodoma au Morogoro. The issue is the infrastructure system ambayo ni high maintenance kutokana na ubovu wa mabasi ya mwendokasi, poor coordination pamoja na miundombinu ya malipo
Ndio, lengo ni kuconnect mikoa na dar es salaam kama huko ulayaHadi Dodoma? Sasa hiyo ingekuwa ni commuter train au nini?
Hao ma-manager ndio wasimamizi wakuu wa hii miradi.Posho zenyewe za watu wale wa mjengoni labda na ma-manager wa vitengo lakini si kada ya chini wao huwa ni msoto tu.
Nauliza mkuu!?Wapi nimesema sitaki?
😂😂😂Eneo ambalo halina tatizo nchi hii ni kwenye kulipana posho mbalimbali
Wanaopanga route wana mentality ya hovyo sana, wanasema magari lazima yashone toka mwanzo wa route ili kufidia hasara inayotokana na nauli kuwa ndogoWakuu tunaomba mjitahidi kutoa huduma inayoeleweka. Sijui ni nani anaepanga route za magari maana imagine mtu unakaa kituoni lisaa lizima gari zinapita chache mno na zimejaa hakuna hata pa kusimama.
Uongozi dhaifu, nimechunguza mara nyingi uzembe ni mwingi, wale wahudumu wa kukagua ticket hawazimuliki na hawazichani, nyingi zinarudi kuuzwa upya, shirika linahujumiwa sanaWakuu tunaomba mjitahidi kutoa huduma inayoeleweka. Sijui ni nani anaepanga route za magari maana imagine mtu unakaa kituoni lisaa lizima gari zinapita chache mno na zimejaa hakuna hata pa kusimama.
Mtu unaamua uende hadi terminal ya kivukoni au gerezani unakuta hali ndio haifai. Jitahidi kuamrisha magari yaondoke maana unakuta yamepaki tu na watu wanasubiri huduma. Kuna wakati mnajitahidi ila mda mwingi kunakua hakuna coordination nzuri.
Hebu angalia hizi picha na ni mchana tu saa nane saizi hali ni hivi.
Kama tatizo lingekua uchache wa magari basi tusinge experience hii shida muda wa mchana. Lakini imekua kinyume chake yaani mchana hali inakua mbaya zaidi.
Kama kuna tatizo ombeni serikali ichukue hatua au hadi wawachukulie nyie hatua?
View attachment 2468757View attachment 2468758View attachment 2468759
Wanakera sana huwa siwaelew hao maderevaHakuna watu wanajiona wameyapatia maisha km wafanyakazi na madereva wa UDART..
Hasa sisi walalahoi tukiwa tunaminyana kupanda wao wanajifungulia mlango wao wapande bila bugudha...
Au dereva akute mnamsubiria halafu apitilize kituo... Wanajiona km marubani
NaulizaUnauliza au unajibu?!