BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Nimepenyezewa habari kutoka chanzo cha kuaminika kabisa kabisa kwamba usiku wa leo, kuanzia mida ya saa 3 usiku kuna mkeka utatoka huo mkea haukuwa kwenye mpango wa Samia ila ni maalumu kwa ajili ya kudivert habari za CHADEMA
Mkeka umeanza kusukwa tangu juzi baada ya seke seke la Mbeya na kilicho kuwa kinangojwa ni lini au ni muda gani CHADEMA watatoa press ili baada ya hapo ndio mkeka uachiwe.
Kuna Waziri mmoja anaenda kubadilishiwa wizara na hii ndio inaaminika ita divert mjadala na kuna Wakuu wa mikoa na wilaya watabadilishiwa vituo vya kazi leo usiku.
UPDATE
- News Alert: - Uteuzi Agosti 14, 2024: Rais Samia kafanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali