Siasa za harakati siyo hitaji letu kwa sasa wanaharakati kama akina Marando,Fundikila chief na Wengine wote waliishia kututia vilema tu kwasasa lazima thingies na mbinu mpya tuachane na mambo ambayo yanadhalilisha uafrika wetu.
Kila siku wanajitokeza watu wenye mlengo wa kutukana na kuwa kinyume kwa kila jambo hata kama ni haki lakini ni lazima iwe na tija kwani kizazi kilichopo sasa kina muda mfupi sana ukilinganisha na mabadiliko yanayokusudiwa na mfano mzuri ni nchi zote zilizofanya harakati hizo na kushinda zimeishia kuwa kero zaidi kuliko walikotoka. Hivyo basi shida siyo Serikali au Chama tawala bali shida ni kizazi hiki chenye malezi ya kiharakati na dharau pamoja na mmomonyoko wa maadili.
Vyama vya siasa ili vijiuze vinaweka mitego rahisi ambayo nayo inawanasa Polisi ambao wanazidi kupromote harakati za watu wenye malengo tofauti tofauti mengine hayana maslahi kwa nchi.