Kuna Tengua, Hamisha, teua usiku wa leo, lengo kuzima mjadala ya CHADEMA

Siasa za harakati siyo hitaji letu kwa sasa wanaharakati kama akina Marando,Fundikila chief na Wengine wote waliishia kututia vilema tu kwasasa lazima thingies na mbinu mpya tuachane na mambo ambayo yanadhalilisha uafrika wetu.
Kila siku wanajitokeza watu wenye mlengo wa kutukana na kuwa kinyume kwa kila jambo hata kama ni haki lakini ni lazima iwe na tija kwani kizazi kilichopo sasa kina muda mfupi sana ukilinganisha na mabadiliko yanayokusudiwa na mfano mzuri ni nchi zote zilizofanya harakati hizo na kushinda zimeishia kuwa kero zaidi kuliko walikotoka. Hivyo basi shida siyo Serikali au Chama tawala bali shida ni kizazi hiki chenye malezi ya kiharakati na dharau pamoja na mmomonyoko wa maadili.
Vyama vya siasa ili vijiuze vinaweka mitego rahisi ambayo nayo inawanasa Polisi ambao wanazidi kupromote harakati za watu wenye malengo tofauti tofauti mengine hayana maslahi kwa nchi.
 
Tuliza kitoa taka mwili chako na CCM yako
umepanic badala ya kunielekeza juukwaa ulipo huo mjadala gentleman?

mihemko ya nini sasa wakati huu asubuhi , acha hizi basi?

karibu makande hapa, halafu ya moto mno dah, kiongozi wa wanainchi niko sambamba kwenye bench na wateja wengineo wa makande!🐒
 
Wanajamvi,
Moja kwa moja kwenye maudhui.

Kamatakamata ya Viongozi wakuu na makada wa CHADEMA, imemletea mfadhaiko mkubwa mkuu wa nchi, kutokana na Matokeo yake watu walivyopokea Tanzania hasa Vyombo vya Habari, Mitandao ya Kijamii na Jumuiya ya Kimataifa.

Kwa sasa habari ya CHADEMA ndiyo habari ya mjini, kutokana na hilo mkuu wa nchi amepanga kufanya mabadiliko ya Baraza, Wakurugenzi, Ma DC, lengo ikiwa ni kuizima habari ya CHADEMA ambayo imekuwa inabamba kwa sasa.

Katika uteuzi huo anatarajiwa kupata teuzi msanii mmoja wa Comedy ambaye hana elimu ya kutosha kushika nafasi ambayo haikutarjiwa na wengi.

Huyo atakuwa centre ya mjadala wa teuzi hizo ili watu waache kujadili habari ya CHADEMA.

Nani huyo msanii? Bambo, MUHOGO Mchungu, Ntanga Kanjibai au Joti?

Stay tuned.

MODS ACHENI UHUNI

Huu ni Uzi ambao nilipost Jana, Leo mnaleta Uzi wenye maudhui sawa kwa asilimia mia, hapa ingekuwa katika uwanja wa taaluma mmekubali pragalism 😎🤔🤔🤔
 
Labda wamrubuni chama.arudi Simba hapo watafaulu.
 
Na ninavyojua Media ya Tanzania kuanzia Kesho Mjadala Mkuu ni Uteuzi na akika Kabudi na Lukuvi na kutemwa rasmi kwa Gwiji lililojiamini la Tanga na siyo Vichapo vya Mkoani Mbeya.
 
Aiseeeeh.....
 
Ummy mwalimu hana akili! Yaan alidhan anaubavu wakumtingisha Rais? Job ndugai tu alishindwa sembuse hiki kikaragosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…