Kuna Tengua, Hamisha, teua usiku wa leo, lengo kuzima mjadala ya CHADEMA

Labda angemtoa zakayo mtoza ushuru ndo ingepooza kidogo tofauti na hapo hamna kitu anafanya anazidu kunuka kinyesi
 
State house press imeoza, ni matobo kila sehemu. Ndo shida ya kufanya kazi na vijana.
 
kinachoniogopesha ni kiwango cha kuvuja kwa hizi taarifa. Najiuliza sisi hatujalipia ila tunapenyezewa bure, vipi wale wanaonunua taarifa za kiuchumi itakuwaje
Lobbyist na spies wana enjoy sana. Mama alisema anataka kufanya kazi na vijana, anavuna anachokipanda. Vijana ma fridge hayagandishi kabisa.
 
Odo kapumzishwa Jenista Mhagama ndio waziri wa Afya kweli Bi. tozo Hana first eleven kama kikosi Cha Simba Sc.
 
Huwezi kuzima mjadala wa Chadema kwa kuteua Kabudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…