Kuna tetesi Dunia inafikia ukomo, Masiha anarudi?

Kuna tetesi Dunia inafikia ukomo, Masiha anarudi?

Jina la Yesu siku hizi kazi yake kupigana na mapepo tu. Niliuliza kwa nini haliponyi amputees ule uzi waliukimbia hakuna aliyejibu. Hakuna miujiza siku hizi ni mazingaombwe na utapeli mtupu kwenye ukristo.
Wewe wasema.. Kama miujiza haitokei ni kwako na kwa mwenendo wako huo utaendelea kutokuona miujiza..
 
Biashara za kutoa mapepo hata waganga wa jadi wanaweza. Hata wayahudi walikuwa wanawapaka watu waliopagawa kinyesi ili kufukuza pepo. Nimesema kama ni jina la Yesu wa kweli basi ponyeni amputees. Mbona mmekimbia hoja??
Siwezi kukimbia rafiki.. Huyo Yesu anaponya hata sasa, je unaamini?
 
Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Ukiamini Hellen G. White na wapuuzi wengine duniani, utakuwa mjinga wa kujitakia. Jiulize tu, huyo Hellen G. White alitabiri nini kikatokea hapa duniani?
 
Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Haiwezekani!! We nj jamaa yake na Kibwetere?! Maana mnafanana sana adi akili 🤔
 
Back
Top Bottom