HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Acha kuishi kwa tetesi wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa kwamba watakatifu ndio hufanya Mungu aendelee kusubiri?Tusipotenda DHAMBI ..........kiulaiini.......... huta amini siku zinavyo paa...........ni kama juzi ya jana yake tu.....
Kabisa. Ulevi wa imani za dini hangover yake haiishi😆😆😆😆😆😆😆 Bora safari ukiamka unakuwa mpya
Unaandika kama tahiraAcha kujidanganya mkuu, Yesu hawez kurudi.
Tena Kwa wayahudi tulionao sahivi, watampiga Yesu makombora mpk achakae.
Bora kina Pilato walimhurumia wakamgonga misumari nchi 6 mikonini na miguuni Ila wakauacha mwili wake angalau unatambulika ukiutizama
Ila Kina Netanyau hawacheki na kima, wataulipua,kuuchakaza na kuufukia na vifusi vya Gaza.
Jina la Yesu siku hizi kazi yake kupigana na mapepo tu. Niliuliza kwa nini haliponyi amputees ule uzi waliukimbia hakuna aliyejibu. Hakuna miujiza siku hizi ni mazingaombwe na utapeli mtupu kwenye ukristo.Watu wanajua Bwana Yesu ni mnyonge hawafikiri hayupo duniani lakini Jina lake likitajwa mapepo hanatetemeka.. Sasa hawajui ni zaidi ya atakayokuja mwenyewe
Biashara za kutoa mapepo hata waganga wa jadi wanaweza. Hata wayahudi walikuwa wanawapaka watu waliopagawa kinyesi ili kufukuza pepo. Nimesema kama ni jina la Yesu wa kweli basi ponyeni amputees. Mbona mmekimbia hoja??Watu wanajua Bwana Yesu ni mnyonge hawafikiri hayupo duniani lakini Jina lake likitajwa mapepo hanatetemeka.. Sasa hawajui ni zaidi ya atakayokuja mwenyewe
wewe piga kazi jamaa!!! mwisho wa dunia ni kifo chako,hao jamaa wa USA wanapigwa matukia ya majanga ya asili na MUNGU kwa sababu ya kuendekeza USOGA,USAGAJI na KUbadili JINSIA!!,,,,,,,wapumbavu sana hao jamaa!!Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Ni ujinga mtupu kuamini dini za watu haswa hizi za kuletewa....we jiulize tu, Yesu hajawahi kukanyaga bara la Ulaya wala la Marekani ila utashangaa manabii wote wanatoka hizo nchi / mabara.Kweli huyu atakuwa wa kizazi cha 2000. Akina HELLEN WHITE na wenzake wa Sabato walishatabiri mwisho wa dunia karne ile ya 19 wakaangukia pua wakajaribu kubadilisha tarehe lakini holaaa. Tuache haya mambo ya kijinga.
Unaamini upuuzi wa Hellen G White, shauri yako. Yule si nabii hana tofauti kabisa na Mchungaji Gwajima au Mwamposa na tapeli T.B. Joshua.Acha kuishi kwa tetesi wewe
Halafu kuna video ya aliekuwa CIA anaitwa Aangela Ford anaulizwa kuhusu crucifixion. Kaiangalie mkuu YouTubePapa Francis ni Jesuit. Papa Francis akiongea jambo huwa nalitafakari mara mbili mbili halafu naliweka moyoni.
Jesuits are the greatest spies ever happened on earth.Jesuits describes wednesday of the holy week as spy-wednesday.
YAP MWENYE HAKI ...JAPO MMOJA TU....Huleta AFUAANSijaelewa kwamba watakatifu ndio hufanya Mungu aendelee kusubiri?
Mkuu hii ya mwaka 1978 ni kama Kuna nabii fulani alitabili ila sijui ikaishiaga wapi..Pengine wewe bado mtoto mdogo wa 2000, ila sie wazee wako tulishaahidiwa na manabii wa kizazi kipya kuwa mwisho wa dunia ulikuwa mwaka 1978, wakachemka tena na kusema mwaka 1982 mara 1999......cha kushangaza mpaka leo bado tunapeta tu na kugawana dhambi according to dini za kuletewa.
Wewe nilishakuta unaamini uchawi..Okay, nieleze Mungu alipomuumba Adamu, alimuumba Yeye MUNGU akiwa katika umbo Gani?
Wakati Mungu anachomoa mbavu za Adamu kumfanya Eva, MUNGU alikuwa katika umbo Gani?
Haya ni kwanini jini aweza mtokea mtu katika umbo Lolote Iwe la nyoka, Simba, Mwanamke, Mwanaume na usiamini kuwa MUNGU aweza zaliwa katika hori?
Inashangaza yule kichaa pale pwani Ya Wagerasi, Yale majini yalokuwa yamemkalia yalimtambua YESU ni nani na yakamwomba Asiyatese kabla ya wakati, yalimtambua ni nani lakini Binadamu anajiuliza maswali kumhusu.