Kuna tetesi Dunia inafikia ukomo, Masiha anarudi?

Hivi Mungu mwenye huruma ni wa kumtupa mwanadamu kwenye ziwa la moto kweli?nahisi baadhi ya watu mnatafsiri biblia vibaya.
 
Nikumbushe hii Y2k mkuu ilikua ni nn ? Nlikua mdogo kitambo icho
Ni scam tu iliyotengenezwa na wamarekani kuudanganya ulimwengu kwamba mfumo unaoongoza mifumo yote ya computer duniani katika kuhifadhi kumbukumbu uta collapse kwa kushindwa kuutambua mwaka 2000 kwamba itarudi 1900 na hivyo taarifa za kibenk zote duniani zitafutika kwa tukio hili USA walipiga dola bilioni 600 world wide.
 
Y2K
 
Lisemwalo lipo (na yalishasemwa kwenye vitabu)!
Kama halipo linakuja (Yesu atakuja kama mwizi hakuna aijuaye siku wala saa)!
Dalili alizosema,Vita,Magomjwa yasiyo na dawa,Njaa,kukithiri kwa maovu(Uzinzi,Ulawiti na Usagaji,Mauaji,Ufisadi,Wizi,nk ),Matetemeko ya nchi mahali mahali (mabadiliko ya tabia nchi),Habari za kutisha,nk
Kifanyike kipi?
Ni Kujiandaa wakati wote!
Tubu dhambi zote na kuacha!
 
Ahh ndomana kuna yule nabii arusha anasema yesu akija yeye ndy ataenda kumpokea na marange yake

Ova
 
Una akili mdogo sana ,Kurud Kwa Yesu hakutakua Kwa kinyonge na ufukara kama unavyowaza kiufukara itakua ni tukio la kutisha mnoo.. kama unadhan natania kawaulize wale walinzi pale kaburini wakati anafufuka yaan walkua kama wafu wakat Mwanaume anafufuka palikua hapatoshi ,Kwa iyo hayo mabomu ya Netenyau yenyewe yatasema Yesu amerudi ,miti itasema Yesu amerudi,mamba itakiri Yesu amerudi ,Samia,Museven,Ruto,kagame,askofu, Sheikhe ,imamu,Mufti woooote watasema Yesu amerudi kulichukua kanisa, ng'ombe wako kuku,meza kabati, vijiko, kitanda vyooote vitasema ni mwisho wa Dunia
 
Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Kwanini USA na isiwe Bangladesh?

Pimeni kila mnachoambiwa kisha tafiti maandiko
 
Mbinguni= Sayari ya Mars

Yesu =Rocket za star link

Kunyakuliwa= Matajiri kuchukuliwa kwenda sayari ya Mars

Akili mtu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…