GE2025 Kuna tetesi Julai 17 Polepole anaenda kusambaratisha Wahuni na Kiongozi wao kuanzia Utekaji, Mauaji, DP World...

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mkuu atayasemea hayo yote akiwa wapi?
1.Tanzania-hawezi kuthubutu kuyasema.
2.Nje ya Tanzania atathubutu,akiwa ameomba uraia huko.
 
Kwan mnavyojifanya kumkubali Gwajima na Mpina Kuna official statement Kutoka chadema?
Ni sisi wana JF tunaowakubali Mpina na Gwajima au CHADEMA walitoa "official statement" ya kuwakubali!!??
 
Hili si suala la Chadema bali utu, haki na usawa.
Mara moja moja jitahidi kuwa na akili ya kuangalia mambo kiutimamu.
Usituingize wote kwenye uchadema na u ccm.
Badirika!
 
Dialogue

Deep state:- Huyu pole pole ana ku outshine sana na hili darasa lake la mchongo,watu wanamwelewa sana!

Samiah :-sasa nifanyaje wajameni!!?

Deep state:-muondoe Bungeni mpeleke mbali sana kama balozi Ili umpoteze kisiasa!

Samiah :- sawa!

Jamaa akapelekwa Malawi akaendelea na vi ziara zake uchwara baadae akapigwa ubalozi huko cuba!

Baada ya kukaribia uchaguzi;-

Deep state:-wewe pole pole tumekulinda sana!muda umefika,jiuzulu tukupe KAZI ya destabilize mtia nia kabla ya uchaguzi!tutakulinda!

H. Pole pole ;-sawa !wakuu,kwahiyo lini sasa!!?

Deep state;-ikifika July kati kati utaanza KAZI rasmi!

H. Pole pole :sawa nasubiria script Toka kwenu!!

Kifupi hii ya pole pole ni maelekezo Toka Kwa elites na moto utawaka !tusubiri tarehe 17.

Nawaza!
Mwenye masikio na asikie.
Wapo wengi tu waliolindwa na mfumo wa maamuzi, Wataanza kutumiwa na mfumo huo ku-destabilize mfumo uchwara..
 
Hii si ya Kukosa Wakuu!!.

Wekeni Bando , Samia angekua na namna anataman hata siku hiyo Intaneti izimwe !!.

Taarifa zinasema ,Polepole ,Mtumishi wa Mungu asipenda kushiriki Dhambi anaenda

1-Kupigia Kelele suala la Utekaji, Mauaji, Majarabio wa mauaji Kwa Viongozi wa Kisiasa na Kidini huku akizungumzia Suala la KITIMA Kwa undani.

2-Uuzwaji na ukabidhaji wa Rasilimali za Nchi kwa Waarabu na Wachina ..hapa Masuala ya DP world, Ngorongoro, Misitu , Bandari zetu n.k

3-SAMIA KUJIPITISHA MWENYEWE KUGOMBEA URAIS, BILA HATA KWENDA KUCHUKUA FOMU ( Safari hii imekua Noma, yaani MTU anajipitisha lakini hachukui Fomu, hata MAGUFULI HAKUFANYA HIVI) ,Polepole anaenda kuelezea Kinagaubaga Kwa namna gani Samia amekiuka Katiba ya Nchi, na KATIBA ya Chama.

4-Uminywaji wa Demokrasia, unaambiwa Polepole anaenda kuelezea Uhuni wa Wahuni unaofanywa Kwa LISSU, CHADEMA na Watanzania wote ambao wanaumizwa sababu tu MTU aendelee kua Rais

5-Uchaguzi Mkuu, Polepole anaenda kuelezea hatua Kwa hatua namna gan Samia kajipanga kupora Uchaguzi Mkuu kama ilivyokua auchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 .

6-Vita ya Samia dhidi ya Ukristo , hapa unaambiwa Polepole anaenda kuchambua Kinagaubaga Kwa namna gan Vita ya Samia imepelekea Mpasuko na matabaka kwenye Taifa Kwa misingi ya Udini.

7-Polepole anaenda kumtaka Rais Samia na Serikali yake kulirejeshea Usajili Kanisa la Gwajima ,na kulilipa Fidia kufuatia uharibifu wa Mali ulofanywa na Polisi.

Kwa uchache ni hayo

Hongera sana Mzalendo wa Nchi.
Mungu ibariki Tanzania.
Hongera Mh Polepole

Swali ni je, Kiongozi wa Wahuni, ataimendea Damu ya Polepole??

Na baada ya Polepole, Ataibuka Mwingine tena, Tunarudi kwenye swali lilelile, Mtateka, mtaua, mtafunga wangapi???.

Huko Ulaya pia mambo ni 🔥🔥

Hakika Dikteta kapatikana , anaenda kutupwa kwenye Ziwa la Moto !!
Huko kukataa kushiriki dhambi labda kama Kesha tubu...

Ila tunamuunga mkono kwasababu anapambana na Adui yetu kwa sasa japo tunajua ni kwasababu hana maslahi na serikali ya sasa
 
Me hata siwaamini gwajima kaingia mitini sijui anasubiria mafao 😅
 
Hii si ya Kukosa Wakuu!!.

Wekeni Bando , Samia angekua na namna anataman hata siku hiyo Intaneti izimwe !!.

Taarifa zinasema ,Polepole ,Mtumishi wa Mungu asipenda kushiriki Dhambi anaenda

1-Kupigia Kelele suala la Utekaji, Mauaji, Majarabio wa mauaji Kwa Viongozi wa Kisiasa na Kidini huku akizungumzia Suala la KITIMA Kwa undani.

2-Uuzwaji na ukabidhaji wa Rasilimali za Nchi kwa Waarabu na Wachina ..hapa Masuala ya DP world, Ngorongoro, Misitu , Bandari zetu n.k

3-SAMIA KUJIPITISHA MWENYEWE KUGOMBEA URAIS, BILA HATA KWENDA KUCHUKUA FOMU ( Safari hii imekua Noma, yaani MTU anajipitisha lakini hachukui Fomu, hata MAGUFULI HAKUFANYA HIVI) ,Polepole anaenda kuelezea Kinagaubaga Kwa namna gani Samia amekiuka Katiba ya Nchi, na KATIBA ya Chama.

4-Uminywaji wa Demokrasia, unaambiwa Polepole anaenda kuelezea Uhuni wa Wahuni unaofanywa Kwa LISSU, CHADEMA na Watanzania wote ambao wanaumizwa sababu tu MTU aendelee kua Rais

5-Uchaguzi Mkuu, Polepole anaenda kuelezea hatua Kwa hatua namna gan Samia kajipanga kupora Uchaguzi Mkuu kama ilivyokua auchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 .

6-Vita ya Samia dhidi ya Ukristo , hapa unaambiwa Polepole anaenda kuchambua Kinagaubaga Kwa namna gan Vita ya Samia imepelekea Mpasuko na matabaka kwenye Taifa Kwa misingi ya Udini.

7-Polepole anaenda kumtaka Rais Samia na Serikali yake kulirejeshea Usajili Kanisa la Gwajima ,na kulilipa Fidia kufuatia uharibifu wa Mali ulofanywa na Polisi.

Kwa uchache ni hayo

Hongera sana Mzalendo wa Nchi.
Mungu ibariki Tanzania.
Hongera Mh Polepole

Swali ni je, Kiongozi wa Wahuni, ataimendea Damu ya Polepole??

Na baada ya Polepole, Ataibuka Mwingine tena, Tunarudi kwenye swali lilelile, Mtateka, mtaua, mtafunga wangapi???.

Huko Ulaya pia mambo ni 🔥🔥

Hakika Dikteta kapatikana , anaenda kutupwa kwenye Ziwa la Moto !!
Ni watu wapuuzi tu ndio wanaweza kumuamini huyu bwana. Yeye ndio ali engineer kuharibu uchaguzi wa 2019&2020, anacho kifanya saizi ni wivu tu. Au ametumwa kuwa hada wapinzani wa kweli.
 
sawa ngoja tukuamini wewe basi
 
Back
Top Bottom