GE2025 Kuna tetesi Julai 17 Polepole anaenda kusambaratisha Wahuni na Kiongozi wao kuanzia Utekaji, Mauaji, DP World...

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Hii si ya Kukosa Wakuu!!.

Wekeni Bando , Samia angekua na namna anataman hata siku hiyo Intaneti izimwe !!.

Taarifa zinasema ,Polepole ,Mtumishi wa Mungu asipenda kushiriki Dhambi anaenda

1-Kupigia Kelele suala la Utekaji, Mauaji, Majarabio wa mauaji Kwa Viongozi wa Kisiasa na Kidini huku akizungumzia Suala la KITIMA Kwa undani.

2-Uuzwaji na ukabidhaji wa Rasilimali za Nchi kwa Waarabu na Wachina ..hapa Masuala ya DP world, Ngorongoro, Misitu , Bandari zetu n.k

3-SAMIA KUJIPITISHA MWENYEWE KUGOMBEA URAIS, BILA HATA KWENDA KUCHUKUA FOMU ( Safari hii imekua Noma, yaani MTU anajipitisha lakini hachukui Fomu, hata MAGUFULI HAKUFANYA HIVI) ,Polepole anaenda kuelezea Kinagaubaga Kwa namna gani Samia amekiuka Katiba ya Nchi, na KATIBA ya Chama.

4-Uminywaji wa Demokrasia, unaambiwa Polepole anaenda kuelezea Uhuni wa Wahuni unaofanywa Kwa LISSU, CHADEMA na Watanzania wote ambao wanaumizwa sababu tu MTU aendelee kua Rais

5-Uchaguzi Mkuu, Polepole anaenda kuelezea hatua Kwa hatua namna gan Samia kajipanga kupora Uchaguzi Mkuu kama ilivyokua auchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 .

6-Vita ya Samia dhidi ya Ukristo , hapa unaambiwa Polepole anaenda kuchambua Kinagaubaga Kwa namna gan Vita ya Samia imepelekea Mpasuko na matabaka kwenye Taifa Kwa misingi ya Udini.

7-Polepole anaenda kumtaka Rais Samia na Serikali yake kulirejeshea Usajili Kanisa la Gwajima ,na kulilipa Fidia kufuatia uharibifu wa Mali ulofanywa na Polisi.

Kwa uchache ni hayo

Hongera sana Mzalendo wa Nchi.
Mungu ibariki Tanzania.
Hongera Mh Polepole

Swali ni je, Kiongozi wa Wahuni, ataimendea Damu ya Polepole??

Na baada ya Polepole, Ataibuka Mwingine tena, Tunarudi kwenye swali lilelile, Mtateka, mtaua, mtafunga wangapi???.

Huko Ulaya pia mambo ni 🔥🔥

Hakika Dikteta kapatikana , anaenda kutupwa kwenye Ziwa la Moto !!
 
Akifanya hayo yote nitamteka hata mimi asilete ujinga hapa, asubiri mshahara wa july ndio alete drama zake.
Mpuuzi kweli, tuchelewe kufika kisa mshahara wa July?

Kwa hali ilivyo ni bora kuchafuke, Mishahara ianze Mwakan baada ya Kutulia

Haki, Siasa Safi , Utawala wa sheria .

Kibao anauliwa, alafu unasema Kifo ni Kifo???angeuliwa Mwanawe angesema hivo kweli???
 
Hii si ya Kukosa Wakuu!!.

Wekeni Bando , Samia angekua na namna anataman hata siku hiyo Intaneti izimwe !!.

Taarifa zinasema ,Polepole ,Mtumishi wa Mungu asipenda kushiriki Dhambi anaenda

1-Kupigia Kelele suala la Utekaji, Mauaji, Majarabio wa mauaji Kwa Viongozi wa Kisiasa na Kidini huku akizungumzia Suala la KITIMA Kwa undani.

2-Uuzwaji na ukabidhaji wa Rasilimali za Nchi kwa Waarabu na Wachina ..hapa Masuala ya DP world, Ngorongoro, Misitu , Bandari zetu n.k

3-SAMIA KUJIPITISHA MWENYEWE KUGOMBEA URAIS, BILA HATA KWENDA KUCHUKUA FOMU ( Safari hii imekua Noma, yaani MTU anajipitisha lakini hachukui Fomu, hata MAGUFULI HAKUFANYA HIVI) ,Polepole anaenda kuelezea Kinagaubaga Kwa namna gani Samia amekiuka Katiba ya Nchi, na KATIBA ya Chama.

4-Uminywaji wa Demokrasia, unaambiwa Polepole anaenda kuelezea Uhuni wa Wahuni unaofanywa Kwa LISSU, CHADEMA na Watanzania wote ambao wanaumizwa sababu tu MTU aendelee kua Rais

5-Uchaguzi Mkuu, Polepole anaenda kuelezea hatua Kwa hatua namna gan Samia kajipanga kupora Uchaguzi Mkuu kama ilivyokua auchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 .

6-Vita ya Samia dhidi ya Ukristo , hapa unaambiwa Polepole anaenda kuchambua Kinagaubaga Kwa namna gan Vita ya Samia imepelekea Mpasuko na matabaka kwenye Taifa Kwa misingi ya Udini.

7-Polepole anaenda kumtaka Rais Samia na Serikali yake kulirejeshea Usajili Kanisa la Gwajima ,na kulilipa Fidia kufuatia uharibifu wa Mali ulofanywa na Polisi.

Kwa uchache ni hayo

Hongera sana Mzalendo wa Nchi.
Mungu ibariki Tanzania.
Hongera Mh Polepole

Swali ni je, Kiongozi wa Wahuni, ataimendea Damu ya Polepole??

Na baada ya Polepole, Ataibuka Mwingine tena, Tunarudi kwenye swali lilelile, Mtateka, mtaua, mtafunga wangapi???.

Huko Ulaya pia mambo ni 🔥🔥

Hakika Dikteta kapatikana , anaenda kutupwa kwenye Ziwa la Moto !!
Bibi wa Kizimkazi anajua "Katiba ni kitabu tu!"
 
Mtu anaenda kupenyezewa kitu kizito chenye nncha butu kisogoni.
 
Huyo siyo Polepole bali ni wewe Carlos The Jackal wa Kisemvule
 
1,6 na 7 ndo chanzo cha Mimi kumchukia kabisa huyu mzanzibar,basi tu kwakuwa Sina password ya pumzi yake
 
Wawahi kumdhibiti tu asije akatudharilishia bibi kilemba wetu
 
Hii si ya Kukosa Wakuu!!.

Wekeni Bando , Samia angekua na namna anataman hata siku hiyo Intaneti izimwe !!.

Taarifa zinasema ,Polepole ,Mtumishi wa Mungu asipenda kushiriki Dhambi anaenda

1-Kupigia Kelele suala la Utekaji, Mauaji, Majarabio wa mauaji Kwa Viongozi wa Kisiasa na Kidini huku akizungumzia Suala la KITIMA Kwa undani.

2-Uuzwaji na ukabidhaji wa Rasilimali za Nchi kwa Waarabu na Wachina ..hapa Masuala ya DP world, Ngorongoro, Misitu , Bandari zetu n.k

3-SAMIA KUJIPITISHA MWENYEWE KUGOMBEA URAIS, BILA HATA KWENDA KUCHUKUA FOMU ( Safari hii imekua Noma, yaani MTU anajipitisha lakini hachukui Fomu, hata MAGUFULI HAKUFANYA HIVI) ,Polepole anaenda kuelezea Kinagaubaga Kwa namna gani Samia amekiuka Katiba ya Nchi, na KATIBA ya Chama.

4-Uminywaji wa Demokrasia, unaambiwa Polepole anaenda kuelezea Uhuni wa Wahuni unaofanywa Kwa LISSU, CHADEMA na Watanzania wote ambao wanaumizwa sababu tu MTU aendelee kua Rais

5-Uchaguzi Mkuu, Polepole anaenda kuelezea hatua Kwa hatua namna gan Samia kajipanga kupora Uchaguzi Mkuu kama ilivyokua auchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 .

6-Vita ya Samia dhidi ya Ukristo , hapa unaambiwa Polepole anaenda kuchambua Kinagaubaga Kwa namna gan Vita ya Samia imepelekea Mpasuko na matabaka kwenye Taifa Kwa misingi ya Udini.

7-Polepole anaenda kumtaka Rais Samia na Serikali yake kulirejeshea Usajili Kanisa la Gwajima ,na kulilipa Fidia kufuatia uharibifu wa Mali ulofanywa na Polisi.

Kwa uchache ni hayo

Hongera sana Mzalendo wa Nchi.
Mungu ibariki Tanzania.
Hongera Mh Polepole

Swali ni je, Kiongozi wa Wahuni, ataimendea Damu ya Polepole??

Na baada ya Polepole, Ataibuka Mwingine tena, Tunarudi kwenye swali lilelile, Mtateka, mtaua, mtafunga wangapi???.

Huko Ulaya pia mambo ni 🔥🔥

Hakika Dikteta kapatikana , anaenda kutupwa kwenye Ziwa la Moto !!
watanzania wote tunasubiri kukombolewa na sloslow -- hili ni janga
 
Back
Top Bottom