Hii si ya Kukosa Wakuu!!.
Wekeni Bando , Samia angekua na namna anataman hata siku hiyo Intaneti izimwe !!.
Taarifa zinasema ,Polepole ,Mtumishi wa Mungu asipenda kushiriki Dhambi anaenda
1-Kupigia Kelele suala la Utekaji, Mauaji, Majarabio wa mauaji Kwa Viongozi wa Kisiasa na Kidini huku akizungumzia Suala la KITIMA Kwa undani.
2-Uuzwaji na ukabidhaji wa Rasilimali za Nchi kwa Waarabu na Wachina ..hapa Masuala ya DP world, Ngorongoro, Misitu , Bandari zetu n.k
3-SAMIA KUJIPITISHA MWENYEWE KUGOMBEA URAIS, BILA HATA KWENDA KUCHUKUA FOMU ( Safari hii imekua Noma, yaani MTU anajipitisha lakini hachukui Fomu, hata MAGUFULI HAKUFANYA HIVI) ,Polepole anaenda kuelezea Kinagaubaga Kwa namna gani Samia amekiuka Katiba ya Nchi, na KATIBA ya Chama.
4-Uminywaji wa Demokrasia, unaambiwa Polepole anaenda kuelezea Uhuni wa Wahuni unaofanywa Kwa LISSU, CHADEMA na Watanzania wote ambao wanaumizwa sababu tu MTU aendelee kua Rais
5-Uchaguzi Mkuu, Polepole anaenda kuelezea hatua Kwa hatua namna gan Samia kajipanga kupora Uchaguzi Mkuu kama ilivyokua auchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 .
6-Vita ya Samia dhidi ya Ukristo , hapa unaambiwa Polepole anaenda kuchambua Kinagaubaga Kwa namna gan Vita ya Samia imepelekea Mpasuko na matabaka kwenye Taifa Kwa misingi ya Udini.
7-Polepole anaenda kumtaka Rais Samia na Serikali yake kulirejeshea Usajili Kanisa la Gwajima ,na kulilipa Fidia kufuatia uharibifu wa Mali ulofanywa na Polisi.
Kwa uchache ni hayo
Hongera sana Mzalendo wa Nchi.
Mungu ibariki Tanzania.
Hongera Mh Polepole
Swali ni je, Kiongozi wa Wahuni, ataimendea Damu ya Polepole??
Na baada ya Polepole, Ataibuka Mwingine tena, Tunarudi kwenye swali lilelile, Mtateka, mtaua, mtafunga wangapi???.
Huko Ulaya pia mambo ni 🔥🔥
Hakika Dikteta kapatikana , anaenda kutupwa kwenye Ziwa la Moto !!