Nyie nyumbu kwa hatua mliyofikia mtaokoteza ht kichaa anayeokota barabarani makopo.Hii si ya Kukosa Wakuu!!.
Wekeni Bando , Samia angekua na namna anataman hata siku hiyo Intaneti izimwe !!.
Taarifa zinasema ,Polepole ,Mtumishi wa Mungu asipenda kushiriki Dhambi anaenda
1-Kupigia Kelele suala la Utekaji, Mauaji, Majarabio wa mauaji Kwa Viongozi wa Kisiasa na Kidini huku akizungumzia Suala la KITIMA Kwa undani.
2-Uuzwaji na ukabidhaji wa Rasilimali za Nchi kwa Waarabu na Wachina ..hapa Masuala ya DP world, Ngorongoro, Misitu , Bandari zetu n.k
3-SAMIA KUJIPITISHA MWENYEWE KUGOMBEA URAIS, BILA HATA KWENDA KUCHUKUA FOMU ( Safari hii imekua Noma, yaani MTU anajipitisha lakini hachukui Fomu, hata MAGUFULI HAKUFANYA HIVI) ,Polepole anaenda kuelezea Kinagaubaga Kwa namna gani Samia amekiuka Katiba ya Nchi, na KATIBA ya Chama.
4-Uminywaji wa Demokrasia, unaambiwa Polepole anaenda kuelezea Uhuni wa Wahuni unaofanywa Kwa LISSU, CHADEMA na Watanzania wote ambao wanaumizwa sababu tu MTU aendelee kua Rais
5-Uchaguzi Mkuu, Polepole anaenda kuelezea hatua Kwa hatua namna gan Samia kajipanga kupora Uchaguzi Mkuu kama ilivyokua auchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 .
6-Vita ya Samia dhidi ya Ukristo , hapa unaambiwa Polepole anaenda kuchambua Kinagaubaga Kwa namna gan Vita ya Samia imepelekea Mpasuko na matabaka kwenye Taifa Kwa misingi ya Udini.
7-Polepole anaenda kumtaka Rais Samia na Serikali yake kulirejeshea Usajili Kanisa la Gwajima ,na kulilipa Fidia kufuatia uharibifu wa Mali ulofanywa na Polisi.
Kwa uchache ni hayo
Hongera sana Mzalendo wa Nchi.
Mungu ibariki Tanzania.
Hongera Mh Polepole
Swali ni je, Kiongozi wa Wahuni, ataimendea Damu ya Polepole??
Na baada ya Polepole, Ataibuka Mwingine tena, Tunarudi kwenye swali lilelile, Mtateka, mtaua, mtafunga wangapi???.
Huko Ulaya pia mambo ni 🔥🔥
Hakika Dikteta kapatikana , anaenda kutupwa kwenye Ziwa la Moto !!
SawaP
Proton VPN
Ngoja tusubiri. Sisi Wahaya tuna msemo usemao, "Koiukubeiya tibwikara kukyai*! ( Ukisema uongo hakuchelewi kucha)!Hii si ya Kukosa Wakuu!!.

Umeliona nini mkuu?Pamoja na upole wangu, hata kusema siwezi ila hili la mgombea wa CCM nimeliona.
Kikwete anasemaje?Hii si ya Kukosa Wakuu!!.

Mdude_Nyagali uje u-comment mkuu usikae kimya hivyo basiNa baada ya Polepole, Ataibuka Mwingine tena, Tunarudi kwenye swali lilelile, Mtateka, mtaua, mtafunga wangapi???.
Ngoja tusubiri 17.07.2025 tutakua hapa tuone hizo Guts za Slow Slow kwenye atatema Cheche km GwajiboyWatu wameanza kuamka sasa, mwanamke ibilisi lazima afeli na mipango yake ya hovyo
Where is Mdude_Nyagali?namwomba Mungu afanye jambo kubwa kabisa kwa ukombozi wa Tanzania mwaka huu, ila tu awaponye raia wake wasiingie kwenye machafuko, Eeeh Mungu tusaidie. ila ukweli ni kwamba, wakristo in particular tunateseka sana katika utawala wa huyu mama. tumeomba, tunaomba kwa Mungu na Mungu atajibu. hakuna mwanadamu mkubwa kuliko Mungu. mwanadamu unaweza kuwa na mabunduki, mapolisi, majeshi, ila sisi tuna Mungu tu, anatosha kutuokoa mkononi mwako.
nilipoangalia ile clip ya waumini wa ufufuo na uzima, mmoja alikuwa akiomba, akapigwa virungu viwili vitatu vya nguvu wakitegemea atakimbia, yeye aliendelea kushikilia nguzo ya mti huku akiomba. mmoja alinyanyua rungu nadhani alitaka kumpiga kichwani au usoni, akalishusha. nikajiuliza, hawa watu wameiba? wameuwa? wamefanya kosa gani? jibu ni kwamba wanamwabudu Mungu, haki ambayo ipo hadi kwenye katiba, na wanazuiwa kuabudu kwa kosa la mtu mmoja tu, watu zaidi ya milioni huko wanapewa adhabu zote hizo kwa sababu ya wanalodai kosa (though halipo) la gwajima. tangu uhuru hatujawahi kuwa na kiongozi anayefuta makanisa, hasa akiwa wa dini ya upande mwingine. dini au imani ni eneo sensitive sana kwa umoja kwenye jamii, ila huyu mama haoni hilo au anaona ila kashupaza shingo kama ilivyo kawaida ya wazanzibari.kiburi juu ya kiburi bila kujua wanaingia kwnye ndoana ya Mungu atakayeshuka kutoa maamuzi.
probably, where bensaanane is! na bahati mbaya wote kosa lao lilikuwa kukosoa mtu sio Mungu.Where is Mdude_Nyagali?
Unaambiwa mara kadakwa kwenye kurupushani za hapa na pale kupotezwa kazibwa mdomo"Unaambiwa.. Unaambiwa...Unaambiwa...! Hamna kitu hapo.
Polepole ni sisimiziHii si ya Kukosa Wakuu!!.