Tetesi: Kuna tetesi kwamba Marekani inapanga kutangaza vikwazo kwa Serikali ya Tanzania

Wewe ni miongoni mwa wezi wanaotuhumiwa, nimekuambia kama mmiliki kakataa kuleta vitendea kazi wewe kibarua inakuhusu nini? Hulipwi? Wapi nimesema utumie hela yako kuemdesha ofisi ya mtu?
Mtunie akili saa nyingine sio vinginevyo.
Narudia kawaambie waache umbea na kiherehere, hujaletewa gari kama makubaliano ni kuletewa gari usiende kazini, huna vitendea kazi usifanye kazi.
Msijifanye mna uchungu sana na kazi, mwacheni kwenye kampeni akajibu mwenyewe na waambie hao jamaa zako kuwa hawakuwaahidi wananchi kitu chochote kile zaid ya huyo mmiliki wa ofisi ambaye ataulizwa mwenyewe na waliomchagua.
 
Kama huna kitu cha kuandika ni vema kutulia tu
 
Unalalamika kaandika kinazi, at the same time unahitimisha kwamba Maalim Seif hawezi kuwa rais, wewe siyo mnazi sasa?
 
Lakini lililo wazi ni kuwa Maalim Seif hawezi kuwa Rais wa Zanzibar na haitatokea kuwa hivyo...
Kwa nini? Katiba inamkataza au kumzuia? tuacha ushabiki kwa maswala magumu ya kitaifa na pale haki za raia zinapoguswa. Nawekea mkazo haki za RAIA na siyo za mwananchi. Upo?
 
Mfano juzi IGP katuma watu kuchunguza zanzibar kutokana na vitendo vibaya. Sasa jiulize. Bye
 
ALINACHA
 
Uzuri chadema wamebaki wanapambana na magufuli issue ya ufisadi imeshakufa kifo cha mende wala hawana ajenda teena bali ajenda imebaki ni magufuli akikohoa wanakosoa akicheka wanakosoa akinuna wanakosoa. Maskini ya mungu upinzani. Wanajuta sanaagufuli kuwa rais mana wamekosa cha kuwapa Kik tena. Ombeni kilwete awasaidie
 
sisi watanzania tumeshazoea shida sasa hivo vikwazo tukiwekewa na hao wamarekani sisi itatusaidia nini maana tushazoea shida hebu mnaelewa hili jambo mtusaidie
Mkuu we ni Mtanzania embu niambie umezoea shida zipi? hivi unajua maana ya ugumu wa maisha? Tanzania hamna ugumu wa maisha
 
Umeandika kinazi...utakuwa ni CUF au CHADEMA...unafurahia Tanzania kuwekewa vikwazo...dah...Watanzania wengine bwana kazi ipo..
Je wewe unaona ni halali ufunge bao safi tena safi sana halafu refa alikatae kisa eti ulishangilia baada ya kufunga na wewe unafurahi Watanzani wengine kama wewe bwana kazi ipo////////////
 
--NAOMBA MUNGU KIPINDI CHA AWAMU YA TANO KIENDE MBIO NA KIMALIZE HARAKA,MUNGU WETU TUONE TUOKOE...TU JANGWANI.
 
Wewe nani, mpaka uongee hivyo?
 
De MArekani ilivyopangiwa matokeo ya uchaguzi na urusi je amewawekea vikwazo nani? mbele hayo machagadema
 
sisi watanzania tumeshazoea shida sasa hivo vikwazo tukiwekewa na hao wamarekani sisi itatusaidia nini maana tushazoea shida hebu mnaelewa hili jambo mtusaidie
Hakuna mtu aliezoea shida usituingopee, waulize Cuba watakujuza nini maana ya vikwazo.
 
nyie ndiyo mkiambiwa watoto wenu ni wezi wala unga mnawatetea kwa gharama yoyote ile.

kila jambo lina wajibu wake, mmepoka ushindi wa Seif mtawajibika ipasavyo.

USA shusha runga upesi.
Mtumwa na kibaraka wa mzungu utamjuwa tu.
 


Sasa mkuu mbona na wewe umemalizia kinazi zaidi?
 

Hivi Marekani wanakusaidia nini? na ni nani atakayetamka na kuikemea marekani kwa sintofahamu ya uchaguzi wao wa juzi, kauli kama hizi za kutishia nchi huru yenye watu huru ni upuuzi na inatokana na watu wa hovyo.
 
Ss ww na huyo aliyeandika tetesi mnazi na aliyeandika kinazi ni nani !ona soni kabla huja andika.we ni ccm ? Unaposema Seif hatakua raisi,haitatokea ni unazi,unoko,ukada,au ubabe?alafu bado unasema aliyeandika anafurahia Tz,kuwekewa vikwazo ! wapi alipocheka ukaona meno yake ukathibitisha furaha yake ?au,wapi alipoandika furaha hiyo ?mmsema nchi inaweza kujiendesha,Leo unatumwa kuja huku kutafuta huruma za nn?cmna ubavu ! Hovyo kwelikweli ccm.Mbowe akienda nje mnasema kaenda kutembeza bakuli,ss mnapoumizwa na vikwazo vya Marekani,mnataka mkatembeze ndoo au gunia kbs?mbona hamueleweki,msimamo wenu uko wapi?yaani hata acye na chama ccm hajiungi.mbele hampo,nyuma hampo,katikati mnatafutwa mkowapi nyie wababe mpaka wa roho za wahamiaji haramu?lazima muwe na walakini apsteaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…