HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Wewe ni miongoni mwa wezi wanaotuhumiwa, nimekuambia kama mmiliki kakataa kuleta vitendea kazi wewe kibarua inakuhusu nini? Hulipwi? Wapi nimesema utumie hela yako kuemdesha ofisi ya mtu?mkuu
mkuu, ili ofisi iende unahitaji vitendea kazi. ukiwa na akili utakuwa umeelewa. hautakiwi kutumia hela yako ya mfukoni kufund huduma za serikali. wewe nawe naona akili yako ni kama ya wao, na hivyo ndivyo mnavyoamini mnajenga nchi. ni bahati mbaya sana watu aina yako ndio wamejaa madarakani.
Mtunie akili saa nyingine sio vinginevyo.
Narudia kawaambie waache umbea na kiherehere, hujaletewa gari kama makubaliano ni kuletewa gari usiende kazini, huna vitendea kazi usifanye kazi.
Msijifanye mna uchungu sana na kazi, mwacheni kwenye kampeni akajibu mwenyewe na waambie hao jamaa zako kuwa hawakuwaahidi wananchi kitu chochote kile zaid ya huyo mmiliki wa ofisi ambaye ataulizwa mwenyewe na waliomchagua.