Tetesi: Kuna tetesi kwamba Marekani inapanga kutangaza vikwazo kwa Serikali ya Tanzania

wangeangalia na uchaguzi wa bara kwani mzee lubuva alikuwa hekima ya uzee na kumtangaza mshindi aliyeshindwa
 
Si ulifurahia kufutwa uchaguzi ulio halali?
 
Jaribu kujiongeza tofautisha kuandika na kukopi.
 
Hii kitu ni zilipendwa.
 
Ww ndo unaandika kinazi kwani kudhulumu haki ya mtu ni sawa?
 
Ni Nchi gani duniani imeshawekewa vikwazo duniani kwa ajili ya mambo ya uchaguzi ??hv mnajua maana ya vkwazo vya uchumi?au kusitisha misaada kuna vikwazo na kusitisha misaada vikwazo vinatolewa na UN si nchi moja moja na vikwazo unawekewa kwa idadi ya moja ya tatu ya kura zote zitakazo pigwa na wanachama wa UN

Tanganyika imesitisiwa misaada na taasisi za misaada si serikali ya Marekani leo NSSF wakikataa kukupa misaada si kwamba serikali ya Tanganyika ndo imekataa kukupa misaada Millennium Development Goals (MDGs) ni taasisi ya kimarekani si serikali ya marekani
 
Hali ni ngumu ikiongezwa na vikwazo tena itakuwa jiwe kabisa Zimbabwe ya misimamo inakuja
 
Kijiwe gani umeinyofoa hii mkuu

Source
 
Mijitu mingine mijinga sana, unashabikia kapu la mayai lidondoshwe ila na wewe umeweka mayai yako humo humo.

nyie ndiyo mkiambiwa watoto wenu ni wezi wala unga mnawatetea kwa gharama yoyote ile.

kila jambo lina wajibu wake, mmepoka ushindi wa Seif mtawajibika ipasavyo.

USA shusha runga upesi.
 
Anayekuja ni Trump mkuu Obama anaondoka na ameshaanza kukabidhi madaraka so lolote laweza kutokea.
 
Nawewe umeandika nonsense,,,,akili utakua umeazima kwa JUMA PUMBA MAHARAGHE,,,, si bure wewe ni ccm kinda kinda...., kwa hivyo wewe unaona sawa mijitu ya ccm kubaka demokrasia na haki za watu wa Zanzibar?

NDIO, Tanganyika iwekewe vikwazo tena tunaomba ifanyike hata mchana wa Leo. Uonevu na ubabe umezidi nchi hii....
 

Changamoto za jinsi zinatufanya tukomaee. Mbona pesa za MCC walisitisha na tumeendelea kuwepo. Huu si wakati wa kuendelea na zoezi la kapu.
 
katika hali ya maisha magumu kama haya, wakishusha rungu tutakuwa kama malawi. tulifanya makosa makubwa sana kwenye uchaguzi uliopita, na hii inatugarimu live, hata kama watu wanajifariji lakini iko wazi, watu tuliowaweka madarakani tuliingia mkenge na tutajuta hadi 2020. tuangalie kama 2020 tutafanya makosa tena kama haya. ni sawa na kumpa intern kazi ya mteja wako wa miaka mingi. itaharibika tu. watu hawana uzoefu na uongozi hasa wa kimataifa, hawana uzoefu na uchumi, hawana uwezo wowote ni sawa tu na wametoka bush juzu, tukawakabidhi madaraka. nchi imesambaratika, hata pesa za kuendesha ofisi za serikali hamna, waulizeni wafanyakazi wa uma wanafanyaje kazi maofisini huko, wanaogopa tu kulalamika lakini hali ni mbaya kupita maelezo. tulitegemea hali itakuwa mbaya kwa mafisadi na wafanyabiashara wakwepa kodi, lakini hali ni mbaya zaidi ofisi za serikali, magari hayafanyi kazi hamna mafuta, hamna hela, afu mtu anakuja kusema anajenga uchumi? wanaeleza hata maana ya uchumi au walikuwa wanausikia tu. watu walipata madaraka kwa bahati nasibu ya kujaribisha na wanakotupeleka hakueleweki. Mungu aingilie kati hawa watu hawatufai maishani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…