Tetesi: Kuna tetesi kwamba Marekani inapanga kutangaza vikwazo kwa Serikali ya Tanzania

Kama una hamu ya kufa sio lazima usubiri vikwazo jiue tu
 
mkuki kwa nguruwe siyo? mbona serekali yenyewe imewawekea hao CUF & CHADEMA vikwazo - tena kinyume cha katiba!
 
Mbona baba j anafurahia watz kuwa maskini na anaapa kabisa lazima aendelee kubana pesa ili tuishi kama mashetani , humshangai?
Nasisi tunasema bora hao wahisani watunyime misaada kama kufa tufe tu ili nchi iwashinde kuongoza watz wafunguke akili
Unasubiri kufa na nani jiue tu uondokane umaskini anaokulazimisha magufuli.
 
Huna hata aibu. hata tetesi ina source ila habari hii inaonekana mleta hoja ndio source. natia shaka ni wale nyumbu hawalali kutafuta au kutunga habari mbaya kuhusu serikali ya jpm
 
Hakuna utawala unaowekwa na mungu wala shetani kwani wao huwa hawapigi kura
 
Cuf hawajaporwa ushindi wamesusa wengine wala.
 
Bora waweke vikwazo labda tutakua na ya njaa chakula lakini tukawa na shibe ya demokrasia na kuepusha michafuko inayoweza kutokea kwa makijani kukutaa uamuzi kura kutumia majeshi kunyang'anya haki wa watanzania
Acha utabiri
 
Mio nashangaa sana watu kuwatetemekea hao makahaba wa kizungu ????!!!*wao sio Mungu toka wazuia msaada wa mcc mbona Maisha yanaendelea tubadilike mtazamo Haifa hili liliharibika sababu ya kupenda misaada mkulu aliyepita alikua anatembeza bakulili usiku na mchana Mbona hakuna alichofanya cha maana???
 
Waweke tu hivyo vikwazo ili viongozi wetu nao wanyooke
 
huyo barosi wa marekani ataambiwa aaondoke kwani atatuletea chakura.
 
we we unafurahia kuminywa kwa haki za binadamu, mnazi mkubwa wewe.
 
Huyu mwandishi wa hii habari atakuwa siyo mtanzania na kama akiwa mtanzania basi atakuwa mfuasi wa kile chama kinachoiombea nchi majanga.
 
Hizo ni story tu uhalisia unaujua, vita vya irak baraza la usalama ambalo ndilo lenye nguvu lilikataa kuivamia irak Marekani ikaamua yenyewe, Bush akasema, "if you are not with us you are with them" nani alikohoa.
Afadhali umweleweshe ndugu yetu na mfano mrahisi ni ishu ya Israel kujenga kwenye makazi ya Palestine, UN wametoa katazo Marekani wanasapoti sasa hapo nani mwenye nguvu, hizo nyingine ni stori tuu kama ulivyosema Mkuu. Kikubwa tusiombee vikwazo watakao umia ni wananchi wa kawaida na ndivyo ilivyo duniani kote.
 
mbona unaonekana una hofu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…