balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,743
- 13,657
Sidhani na pia sijui kama huwa anapiga kulaHivi jamani kila uongozi ni kweli unawekwa na mungu. Huu wa Tanzania nina mashaka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani na pia sijui kama huwa anapiga kulaHivi jamani kila uongozi ni kweli unawekwa na mungu. Huu wa Tanzania nina mashaka sana
huu ni uchochezi sasa!! UTASKIA MUDA SI MREFU BALOZI KARUDISHWA KAOna underson ndambo.
Taifa la Marekani linatarajia kushusha rungu la aina yake kwa serikali ya Tanzania kufuatia hali ya sintofahamu inayoendelea nchini kutokana na sakata la uchaguzi mkuu wa Zanzibar.
Habari zinadokeza kuwa taifa hilo kubwa duniani litaweka vikwazo vya kiuchumi kwa Tanzania hali itakayopelekea Tanzania kuandika historia nyingine mbaya mbele ya uso wa dunia.
Serikali ya Marekani tayari imezuia misaada mbalimbali kwa Tanzania na pia ndiyo iliyoshinikiza Tanzania kunyimwa fedha za MCC, pamoja na kuzishawishi nchi zengine. Serikali ya Tanzania ipo hatarini kukumbwa na janga la njaa, ikiendelea kupuuza juhudi za kimataifa kuitaka kuumaliza kwa haraka mgogoro wa Zanzibar unaofukuta kwa kuacha haki itendeke kabla ya Febr 2017.
Habari zinadokeza kuwa balozi wa Marekani nchini atatoa msimamo unaoelezwa kuwa 'mkali' ili kuishinikiza serikali ya Tanzania kuheshimu maamuzi ya wananchi kwenye uchaguz mkuu wa Zanzibar uliofanyika 25th Oct 2015.
Lazima tujifunze kuwa huru, tujifunze kujitegemea. Hatuwezi kuburuzwa kwa silaha ya vikwazo vyao. US wenyewe mfumo wao umelalamikiwa, si wa kidemokrasia, watoe kwanza miboriti yao ndo waje kuviona vibanzi vyetu.Umafia wa CCM ndio utaliangamiza taifa sio CUF na CHADEMA, na hakuna anaefurahia nchi kuwkewa vikwazo bali ni CCM wenyewe ndio wanafurahia.
rafu inamadhara yake.Tuombe Mungu hili lisitokee maana huu ugumu wa Maisha tulionao unatutosha hatutaki madhara zaidi.
Kiuhalisia nchi yoyote ni ya wananchi lakini ujinga (upu.mba.vu na ulofa) ukitamalaki inageuka ya watawala.Hivi vikiwekwa vikwazo vya kiuchumi wanaoumia ni viongozi ama wananchi wa kawaida.
Umeandika kinazi...utakuwa ni CUF au CHADEMA...unafurahia Tanzania kuwekewa vikwazo...dah...Watanzania wengine bwana kazi ipo...haya endeleeni kuandika hivyo...tutaona mwisho wake utakuwaje...Lakini lililo wazi ni kuwa Maalim Seif hawezi kuwa Rais wa Zanzibar na haitatokea kuwa hivyo...
Hivi jamani kila uongozi ni kweli unawekwa na mungu. Huu wa Tanzania nina mashaka sana
Mkuu nani alikuambia kila utawala huwekwa na Mungu?Hivi jamani kila uongozi ni kweli unawekwa na mungu. Huu wa Tanzania nina mashaka sana
Umeandika kinazi...utakuwa ni CUF au CHADEMA...unafurahia Tanzania kuwekewa vikwazo...dah...Watanzania wengine bwana kazi ipo...haya endeleeni kuandika hivyo...tutaona mwisho wake utakuwaje...Lakini lililo wazi ni kuwa Maalim Seif hawezi kuwa Rais wa Zanzibar na haitatokea kuwa hivyo...
Bora waweke vikwazo labda tutakua na ya njaa chakula lakini tukawa na shibe ya demokrasia na kuepusha michafuko inayoweza kutokea kwa makijani kukutaa uamuzi kura kutumia majeshi kunyang'anya haki wa watanzaniaUmeandika kinazi...utakuwa ni CUF au CHADEMA...unafurahia Tanzania kuwekewa vikwazo...dah...Watanzania wengine bwana kazi ipo...haya endeleeni kuandika hivyo...tutaona mwisho wake utakuwaje...Lakini lililo wazi ni kuwa Maalim Seif hawezi kuwa Rais wa Zanzibar na haitatokea kuwa hivyo...
Mpaka 2020 karibu wafuasi wote wa chagadema watakuwa wanaongea peke yao barabarani
kwa jinsi ulivyohitimisha andiko lako hata wewe umeandika kinazi.Umeandika kinazi...utakuwa ni CUF au CHADEMA...unafurahia Tanzania kuwekewa vikwazo...dah...Watanzania wengine bwana kazi ipo...haya endeleeni kuandika hivyo...tutaona mwisho wake utakuwaje...Lakini lililo wazi ni kuwa Maalim Seif hawezi kuwa Rais wa Zanzibar na haitatokea kuwa hivyo...
na underson ndambo.