Sijui kama ni kweli, lakini nafikiri huo mpango haupo.
Mkuu acha hizo. Sijaarifu kuwa Zanzibar hakuko shwari au si salama hapana. Kuna tetesi tu za mabadiliko ya utawala. Hiki ndicho nilichosema.
Chini ya JPM hakuna fyokofyoko. Wasubiri 2020 goli lingine.
Sijashika bango. Hii tetesi isikutoe udenda. Chukulia ni tetesi tu.Oya unataka nisemeje unielewe? Mbona unakuwa na Kichwa ' tofali ' hivyo na mgumu kuelewa? Hata kama hakuna hali mbaya ya Kiusalama huko ila hata hayo mabadiliko unayoyasema na kuyashikia bango katika ' Utawala ' wa Zanzibar haupo. Umedanganywa tena vibaya sana. Pole!
Wewe jamaa inaelekea mrahisi kudanganyika!kwa style ya CCM hii hauhitaji kuwa mnajimu kujua hilo haliwez kutokea
Sijashika bango. Hii tetesi isikutoe udenda. Chukulia ni tetesi tu.
Zbar kwa Wa Zbar...waelewane nchi isonge mbele......!!! Tuwatakieheri......amaniitawale ndani nchi yao......wenye haki wapewe haki pia !!! Wafanye mseto milele....kila uchaguzi waangalie nani ana nyingi....aongoze nchi mwingine Makamu!!! Tuwaaachie
Nimekufahamu ni mtu wa aina gani. Vumilia tuSasa kama kumbe hata Wewe unajua ni Tetesi kwani unashupalia hadi mishipa ya Ulimini Kwako imekusimama? Naona unanichosha tu.
Tafuta hotuba ya Rais akiwa Zanzibar siku ya kuzima Mwenge kuhusu kuapishwa SeifMimi sidanganyiki ndio maana nataka nipate ukweli. Kama una taarifa rasmi weka hapa JF.
Kwani si tuliambiwa Seif angejiapisha? Kwa nini serikali ya umoja? Ina maana hajiapishi tena?
Tafuta hotuba ya Rais akiwa Zanzibar siku ya kuzima Mwenge kuhusu kuapishwa Seif
Huyu mtoa mada anaweza kuwa seif.manake seif anajua sana kupiga fix watu wake
Bro hebu tetesi zingine uwe unatumia akili kabla hujazileta humuHapana. Hii ni tetesi.