Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
- Thread starter
-
- #41
Swali jingine la nini ilhali sijakuuliza swali? Ndo madhara ya kula vumbi hayo!Kwa utaratibu wao wa kipindi hicho, NDIO, walikuwa wanapiga kura.
Swali jengine?
Ni swali rahisi, kwa kutazama vichwa vya Watanzania ni swali gumu sana! Sijui nani alitulogaKuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?
Na mkurugenzi mstaafu wa NEC 2020 Bw Wilson Mahera ni mgombea wa CCM. Kwamba alikuwa mkurugenzi akiwa na kadi ya Chama mfukoni, halafu watu watarajie miujizaKuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?
Niruhusu nizungumzie mtu anaitwa Madeleka wa ACT Wazalendo. Juzi kasema '' Kushiriki uchaguzi ni haki yako, ni haki ya kumchagua kiongozi unayemtaka'' Madeleka anaamini chaguzi zote zilizopita ni halali. Anaamini kwa mfumo uliopo kura ya Mwananchi ina thamani. Anaamini kuenguliwa ni haki na kwamba wanaopita bila kupingwa kwa mizengwe ni halali. Huyo ndiye MadelekaKwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?
Ukilazimisha ushihdi ukapita basi uwa hautoboi mwaka baada ya uchaguzi, mtu kati uhuru stadiumNasubiri ile porojo yako ya 2025 ni yeye aliyechaguliwa na yeye, kama si yeye basi ni yeye. Mwenzako britanicca analizimisha kupakua chai ya moto huko, ila hakuna kitu. Ngoja tuone na ww porojo zako.
Wakati wa chama kimoja kulikuwa na demokrasia kuliko sasa kwenye kuchagua. Kwenye ubunge kwa mfano, kulikuwa hakuna kuingiza kura vituoni na kampeni zilikuwa zinafanyika kwa wagombea wawiliwa jimbo moja kuongozana.Hata enzi za chama kimoja watu walikuwa wanapiga kura 🤣!
Mmmmhhh.Ukilazimisha ushihdi ukapita basi uwa hautoboi mwaka baada ya uchaguzi, mtu kati uhuru stadium
Duh,pole sana Mkuu Divifoo, @divisheni foo, kiukweli mimi nilitakiwa 。-kusoma fasihi ili niandike kwa lugha rahisi na nyepesi ili hata vilaza wa divisheni 4,waweze kunisoma kwa urahisi na kunielewa!.Nakumbuka ulisema voices from within zimekwambia samia asigombee urais 2025,
Sema mzee mayalla kuna muda una fiksi sana.
Hali hii ya kuchafua uchaguzi kwa kiwango hiki imetokea baada ya ccm kuaanza kupoteza ushawishi kwa umma. Uchaguzi wa mwisho wa ccm kushinda kihalali kwenye mfumo wa vyama vingi ilikuwa ni 2005. Baada ya hapo kuanzia 2010 ni kama kizazi cha ccm kilianza kupungua, na wananchi kuanza kuaelewa upande mwingine. Uchaguzi wa 2015 ndio ikawa kitisho cha dhahiri kwa ccm.Wakati wa chama kimoja kulikuwa na demokrasia kuliko sasa kwenye kuchagua. Kwenye ubunge kwa mfano, kulikuwa hakuna kuingiza kura vituoni na kampeni zilikuwa zinafanyika kwa wagombea wawiliwa jimbo moja kuongozana.
Tatizo la WAJINGA ni kuamini kila mtu anaamini anavyofikiri yeye. Na niwaambie, ninyi wajinga wajinga mliojazana humu JF HAMUWEZI kabisa ku shaken z the system because it's more stronger than you!Swali jingine la nini ilhali sijakuuliza swali? Ndo madhara ya kula vumbi hayo!
October tuna ✅️Uchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!
“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.
Moja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.
Anaibuka mtu anasema “voices from within” zinamwambia kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi ujao.
Na kweli, baada ya uchaguzi Samia anatangazwa kuwa mshindi halafu wanaibuka wapumbavu na kuanza kumsifia huyo aliyedai “voices from within” zilimwambia kuwa Samia atashinda!
Hao ndo Watanzania bana. Na hizo ndo akili zao.
Nikitabiri kuwa mwaka kesho, 2026, mvua zitanyesha kwenye sehemu mbalimbali nchini, na ikatokea zikanyesha kweli, kuna mazuzu wataniona mimi ni genius 🤣.
Predicting the obvious is not genius.
Sasa basi, kwa sababu wote tulio na akili timamu na tulio wahalisia wa mambo tunajua kwamba Rais Samia na CCM watashinda kwa kiwango kikubwa sana, binafsi nina swali:
Kuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?
Kuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?
Kwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?
Ngoja nifanye utabiri mwingine. Itakuwa hivi:
Kwa wale wataoshiriki kwenye huo uchaguzi, Rais Samia akishatangazwa kuwa mshindi, watalalamika kuwa wameibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa wa huru wala haki.
Uchaguzi kutokuwa wa huru wala haki ni jambo ambalo wanalifahamu fika kabisa kabla hata uchaguzi haujafanyika.
Licha ya kufahamu yote hayo, bado wapo watu ambao watashiriki huo uchaguzi na baadaye wataanza kulalamika.
Sasa kuna tija gani ya kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaliyopo halafu baadaye unaanza kulialia kuwa umeibiwa kura?
I don’t want to hear any of you crying about the unfairness of the election after it’s over.
Nani anabisha kuwa Rais Samia atashinda?
Uko sahihi kabisa. Hata sasa hivi ukiona Samia anavyohaha inaonyesha kabisa ana wasiwasi mno mno. Na ujue kabla ya kila uchaguzi TISS hufanya kura ya maoni ya kisomi kabisa kuona rais anakubalika namna gani. CCM haitaweza kushindana tena kwenye box la kura (nina maana kukubali vyama vya kweli vya upinzani kusimamisha mgombea kila jimbo) kwa sababu wanaogopa watazidiwa hata wakiiba. Mtindo wanaotegemea sasa hivi ni ''kugawa'' baadhi ya majimbo kwa vyama bandia na mengine yaliyobaki kufanya uchafuzi.Hali hii ya kuchafua uchaguzi kwa kiwango hiki imetokea baada ya ccm kuaanza kupoteza ushawishi kwa umma. Uchaguzi wa mwisho wa ccm kushinda kihalali kwenye mfumo wa vyama vingi ilikuwa ni 2005. Baada ya hapo kuanzia 2010 ni kama kizazi cha ccm kilianza kupungua, na wananchi kuanza kuaelewa upande mwingine. Uchaguzi wa 2015 ndio ikawa kitisho cha dhahiri kwa ccm.
Inaonekana baada uchaguzi wa 2015, ccm walipanga mkakati wa kukabiliana na hali hiyo, na huenda Magufuli alipewa jukumu la kukabiliana na kitisho hicho, ila kwakuwa hakuwa mwanasiaasa mahiri akaenda nje ya approach za kisiasa, akaingiza dola waziwazi kwenye siasa na hasa kwenye chaguzi. Tukaanza kuona chaguzi za marudio vyombo vya dola na taasisi za kimamlaka zikishiriki bila kificho kunajisi chaguzi ndogo za marudio. Uchaguzi wa SM wa 2019 na 2020 ndio tukashuhudia chaguzi za kipuuzi kabisa toka mfumo wa vyama vingi uingie hapa nchini. Alipoingia mama Samia akaja na lugha laini kama aliyetaka kufuta jinamizi la mtangulizi wake. Lakini nadhani alikatazwa kuwa ccm haina uwezo huo wa kushindana tena kumihalali kwenye box la kura, hivyo afuate system inavyotaka, na sio atakavyo yeye. Uchaguzi wa 2024 wa SM tukaona yale yale ya enzi za Magufuli, na huu wa 2025 utakuwa hivyohivyo. Kiujumla ccm haiwezi tena kushindana kihalali na kupata ushindi itakao.
Nguruvi3
Exactly.Uko sahihi kabisa. Hata sasa hivi ukiona Samia anavyohaha inaonyesha kabisa ana wasiwasi mno mno. Na ujue kabla ya kila uchaguzi TISS hufanya kura ya maoni ya kisomi kabisa kuona rais anakubalika namna gani. CCM haitaweza kushindana tena kwenye box la kura (nina maana kukubali vyama vya kweli vya upinzani kusimamisha mgombea kila jimbo) kwa sababu wanaogopa watazidiwa hata wakiiba. Mtindo wanaotegemea sasa hivi ni ''kugawa'' baadhi ya majimbo kwa vyama bandia na mengine yaliyobaki kufanya uchafuzi.
Wanaamini uchawa wao unaweza ukasababisha wakapata teuzi wakati wa uundaji wa serikali mpya mara baada ya uchaguziWachumia tumbo na machawa ndio wanataka uchaguzi ufanyike.
Afadhali wanngekuwa ni wajinga, wakielimishwa ujinga unawatoka, wanaeruvuka, lakini Watanzania sio wajinga, ni zaidi ya wajinga!, and in fact ni ... naomba nisimalizie!. Vyama vya Upinzani Tanzania na akili kama za fisiNachojua mimi Ccm wanaamini Watanzania ni wajinga.
Mkuu hii comment yako ina kupunguzia credibility yako huku ndani.Kwa nini nasema hivi ni lini matokeo haya kulazimishwa?2010 una kumbuka hali ilivyo kuwa tense hadi "watu" wakasema uchaguzi ji suala la familia?Ukilazimisha ushihdi ukapita basi uwa hautoboi mwaka baada ya uchaguzi, mtu kati uhuru stadium
Inashangaza sanaAfadhali wanngekuwa ni wajinga, wakielimishwa ujinga unawatoka, wanaeruvuka, lakini Watanzania sio wajinga, ni zaidi ya wajinga!, and in fact ni ... naomba nisimalizie
P