GE2025 Kuna tija gani ya kushiriki Uchaguzi chini ya mazingira yaliyopo?

GE2025 Kuna tija gani ya kushiriki Uchaguzi chini ya mazingira yaliyopo?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ni kweli,mimi ni mzee wa masauti,wakati wengi wakisubiri kupiga kura October, akina sisi tuliisha wapa the voices from within ya mgombea wa CCM wa 2015, ilitolewa 2014 Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli na ikawa!.

Voices from within ya mgombea CCM wa 2025, ilitolewa hapa kwenye mada HII toka 2022!.

Na matokeo ya uchaguzi wa 2025 tuliyatoa toka mwaka jana Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
Voices from within nyingine ni hizi
- Pre GE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!

P
Wewe na mawithin yako hutakaa upate hata uenyekiti.... Zee fulan nafaki sana
 
Mkuu hii comment yako ina kupunguzia credibility yako huku ndani.Kwa nini nasema hivi ni lini matokeo haya kulazimishwa?2010 una kumbuka hali ilivyo kuwa tense hadi "watu" wakasema uchaguzi ji suala la familia?
1995
2000
2005
CCM walikuwa wanashinda kweli japo si kwa margin kubwa sana!

Mwaka 2020 uchaguzi matokeo hayajawahi tangazwa popote ! Waliyotangaza ni feki

Nadiriki kusema kwamba uchaguzi wa 2015 ulikuwa nafuu kuliko wa 2020

Britanicca
 
Wanatumia mabilioni kwenye uchaguzi huku wakijua ni fix tupu🤔
 
Ni kweli,mimi ni mzee wa masauti,wakati wengi wakisubiri kupiga kura October, akina sisi tuliisha wapa the voices from within ya mgombea wa CCM wa 2015, ilitolewa 2014 Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli na ikawa!.

Voices from within ya mgombea CCM wa 2025, ilitolewa hapa kwenye mada HII toka 2022!.

Na matokeo ya uchaguzi wa 2025 tuliyatoa toka mwaka jana Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
Voices from within nyingine ni hizi
- Pre GE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!

P
Kusahau kuweka hiki ulichowahi kusemaga, tayari unaonesha wewe u muongo muongo
Hapa ulisema raisi 2025 atakua mwingine(mwanaume), ukasema mpango ndio mpango mzima. Mkeka ushachanika

Hilo lingetokea ungerudi leo kutaka sifa, ulipoona keka limechanika kuhusu mpango, ukasema ni Nchimbi. Keka kuhusu Nchimbi nalo limechanika Ila sioni leo ukizingumza yote hayo umepiga kimya, umekuja na maandiko mengine haya umeyaruka
Screenshot_20250708-040844_1.jpg
 
Kuna mmoja alisema Waziri mkuu majaliwa hatakuwa Tena waziri mkuu baada ya 2025

Nikamuuliza hii mbona ipo obvious wala sio Jambo la kujisifia. Kishakua waziri mkuu kwa miaka 10, hakuna maajabu yoyote angeweza tena kuendelea kuwa waziri mkuu zaidi ya hapo
 
Kuna mmoja alisema Waziri mkuu majaliwa hatakuwa Tena waziri mkuu baada ya 2025

Nikamuuliza hii mbona ipo obvious wala sio Jambo la kujisifia. Kishakua waziri mkuu kwa miaka 10, hakuna maajabu yoyote angeweza tena kuendelea kuwa waziri mkuu zaidi ya hapo
Hivi kuna waziri mkuu gani mwingine aliyewahi kuhudumu kwa miaka 10 straight? Sumaye?
 
Hali hii ya kuchafua uchaguziimetokea baada ya ccm kuaanza kupoteza ushawishi kwa umma. Uchaguzi wa mwisho wa ccm kushinda kihalali ni 2005. 2010 ni kama kizazi cha ccm kilipungua, na wananchi kuanza kuaelewa upande mwingine. Uchaguzi wa 2015 ndio ikawa kitisho cha dhahiri kwa ccm.
Hata kwa namba inaonyesha wazi. Mwaka 2015 ni miaka 20 tangu vyama vingi. Maana yake kizazi cha wapiga kura vijana kilikuwa kikubwa, kuanzia 20-30. CCM iliona tishio lisilo na shaka
Inaonekana baada uchaguzi wa 2015, ccm walipanga mkakati wa kukabiliana na hali hiyo, na huenda Magufuli alipewa jukumu la kukabiliana na kitisho hicho, ila kwakuwa hakuwa mwanasiaasa mahiri akaenda nje ya approach za kisiasa, akaingiza dola waziwazi kwenye siasa na hasa kwenye chaguzi.
Ushindi wa Magufuli ulikuwa 53% licha ya msaada mkubwa wa dola na kila anaina ya 'fojari'' hakuna shaka Magufuli alijua 2020 atapoteza ukizingatia hakuwa mwanasiasa mwenye ushawishi wa hoja.
Kazi ya kuua upinzani kama alivyosema ilianzia hapo, na njia rahisi ni kupitia ''Uchafuzi''

Tukaanza kuona chaguzi za marudio vyombo vya dola na taasisi za kimamlaka zikishiriki bila kificho kunajisi chaguzi ndogo za marudio.
Hapa kuna somo, CHADEMA walisusia chaguzi zote! ACT Wazalendo wakashiriki na zote walipigwa vibaya sana, si kwa sanduku la kura bali wizi usio na shaka. Leo ACT wanasema watalinda kura. Kanuni walizosaini zinasema baada ya kura unakwenda nyumbani, watalinda kura kwa njia gani? Hivi wana bunduki za kuwazuia polisi! Akina Madeleka na Zitto wanafikiria nini!
Uchaguzi wa SM wa 2019 na 2020 ndio tukashuhudia chaguzi za kipuuzi kabisa toka mfumo wa vyama vingi uingie hapa nchini. Alipoingia mama Samia akaja na lugha laini kama aliyetaka kufuta jinamizi la mtangulizi wake. Lakini nadhani alikatazwa kuwa ccm haina uwezo huo wa kushindana tena kihalali kwenye box la kura, hivyo afuate system inavyotaka, na sio atakavyo yeye. Uchaguzi wa 2024 wa SM tukaona yale yale ya enzi za Magufuli, na huu wa 2025 utakuwa hivyohivyo. Kiujumla ccm haiwezi tena kushindana kihalali na kupata ushindi itakao.
Nguruvi3
''Borrow the leaf''
 
Uchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!

“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.

Moja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.

Anaibuka mtu anasema “voices from within” zinamwambia kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi ujao.

Na kweli, baada ya uchaguzi Samia anatangazwa kuwa mshindi halafu wanaibuka wapumbavu na kuanza kumsifia huyo aliyedai “voices from within” zilimwambia kuwa Samia atashinda!

Hao ndo Watanzania bana. Na hizo ndo akili zao.

Nikitabiri kuwa mwaka kesho, 2026, mvua zitanyesha kwenye sehemu mbalimbali nchini, na ikatokea zikanyesha kweli, kuna mazuzu wataniona mimi ni genius 🤣.

Predicting the obvious is not genius.

Sasa basi, kwa sababu wote tulio na akili timamu na tulio wahalisia wa mambo tunajua kwamba Rais Samia na CCM watashinda kwa kiwango kikubwa sana, binafsi nina swali:

Kuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?

Kuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?

Kwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?

Ngoja nifanye utabiri mwingine. Itakuwa hivi:

Kwa wale wataoshiriki kwenye huo uchaguzi, Rais Samia akishatangazwa kuwa mshindi, watalalamika kuwa wameibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa wa huru wala haki.

Uchaguzi kutokuwa wa huru wala haki ni jambo ambalo wanalifahamu fika kabisa kabla hata uchaguzi haujafanyika.

Licha ya kufahamu yote hayo, bado wapo watu ambao watashiriki huo uchaguzi na baadaye wataanza kulalamika.

Sasa kuna tija gani ya kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaliyopo halafu baadaye unaanza kulialia kuwa umeibiwa kura?

I don’t want to hear any of you crying about the unfairness of the election after it’s over.

Nani anabisha kuwa Rais Samia atashinda?
Voice gani from within? Ni fact tu, hakuna chama imara cha upinzani Tanzania chenye hata kuikaribia CCM. Upinzani wakae wajitafakari ni wapi wanakwama, period!
 
Kupotezeana muda tu, mimi hata CDM wasingekuja na No Reforms nisingekuwa na muda ya kupoteza kupanga foleni for nothing.

kupiga kura isiyo na thamani ni ujinga.
Kuna sababu nyingi
1. Tume si huru! Hata Kariakoo Derby imetufundisha. Referee walitoka Misri ili kuwa na ''fair play''
2. Kura zinajazwa kwenye maboksi kutoka nje, thamani ya ile ya kwako ipo wapi?
3. Kura zinapigwa mtaa A na kubebwa kuhesabiwa kusikojulikana. kwanini si kituo A
4. Ukipiga kura unakwenda nyumbani! kuna kitu gani wanaficha ?
5. Mgombea kaenguliwa! unampigia nani kura na thamani ya chaguo lako ipo wapi!!
 
Afrobaremeter imeshasema mgombea wetu anakubalika na atashinda uchaguzi kwa 82%, wameanza yale ya akina Januari na Nape kuwa Magufuli atashinda kwa asilimia 84 na kweli akashinda kwa kura fake kwa asilimia 82.
Ujinga ujinga Ujinga umeanza
Rais Samia ndio anaongoza kwa "kublock" accounts kwenye mtandao wa X na kuhide maoni akifuatiwa na William Ruto.

Kipimo cha kukubalika hapo unakionaje?

Wakazi waishio Tanzania hawawezi kutumia mtandao wa X bila VPN , tulitarajia mtandao huo ambao duniani kote ndio "hub of intellectual talks" uwe wazi watu watoe maoni yao ila wamepigwa kizingiti hadi VPN.

Umewahi ona wapi kiongozi anayekubalika anafanya censorship mitandaoni?

Wote wanaompinga wanapewa kesi za kubumba, wanatekwa wengine na kuwawa.
 
Wameanza na kusema ccm ina wanachama 13m+, lengo ni ili iTally na idadi ya kura wanazotaka kupika. Kinachotakiwa ni idadi ya kuhadaa ulimwengu kuwa idadi kubwa wanamkubali kiongozi huyu na chama chake. Kitendo cha cdm kuutia shombo uchaguzi kimewaumiza mno ccm na vibaraka wake, maana wanajua itashusha sana voters turn out.

Kwa mazingira yalivyo cdm hawawezi kuzuia uchaguzi usifanyike. Lakini kampeni ya NRNE itachangia sana kushusha idadi ya wapiga kura. Idadi itakavyokuwa ndogo itashusha pia uhalali wa serekali iliyoko, kwani itakuwa kisheria, lakini isiyo na uhalali wa umma. Pia viongozi wataokakuwa madarakani hawatapa ushirikiano wa kutosha toka kwa wananchi wengi, kwani itakuwa hawakuwachagua.
Ccm hafikishi hata 8M wanachama
 
Wameanza na kusema ccm ina wanachama 13m+, lengo ni ili iTally na idadi ya kura wanazotaka kupika. Kinachotakiwa ni idadi ya kuhadaa ulimwengu kuwa idadi kubwa wanamkubali kiongozi huyu na chama chake. Kitendo cha cdm kuutia shombo uchaguzi kimewaumiza mno ccm na vibaraka wake, maana wanajua itashusha sana voters turn out.
Kiukweli ni ujinga na mawazo ya kijinga kususia uchaguzi. Kuna vitu vinahitaji tuu uelimishaji.

Balot papers zinakuwa printed kwa idadi ya registed voters. Rigging inafanyika kwa ku register idadi kubwa ya wapiga kura, kisha hizo kura zinapigwa.

Kama all the eligible, voters watajiandikisha, na watajitokeza kupiga kura, there will be no rpom for rigging! Thamani ya Kura Yako: Je Wajua Wewe Ndiye Mwajiri wa Rais wa JMT kwa Kura Yako na Kumlipa Mshahara Wake Yeye na Serikali Yake Yote kwa Kodi Yako?. na Thamani ya kura yako ni sauti yako, nguvu yako

Hawa jamaa zangu nimewashauri Ushauri wa Bure Chadema: Moja shika sii Kumi nenda rudi! Hoja ya Reforms japo ni hoja ya msingi sana kufanya maandalizi ya Uchaguzi ni busara muhimu!
P
 
Kiukweli ni ujinga na mawazo ya kijinga kususia uchaguzi. Kuna vitu vinahitaji tuu uelimishaji.

Balot papers zinakuwa printed kwa idadi ya registed voters. Rigging inafanyika kwa ku register idadi kubwa ya wapiga kura, kisha hizo kura zinapigwa.

Kama all the eligible, voters watajiandikisha, na watajitokeza kupiga kura, there will be no rpom for rigging!
P
Naona umejificha kwenye maelezo.....Hahaha
 
Na mkurugenzi mstaafu wa NEC 2020 Bw Wilson Mahera ni mgombea wa CCM. Kwamba alikuwa mkurugenzi akiwa na kadi ya Chama mfukoni, halafu watu watarajie miujiza
Huu ni mwendelezo wa vitimbi baada ya kile cha Jecha (Rip) aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa ZEC aliyechukua fomu ya Ccm akiomba wampitishe kugombea uraisi huko visiwani.

Kiufupi hii nchi ina vituko kweli kweli
 
Back
Top Bottom