GE2025 Kuna tija gani ya kushiriki Uchaguzi chini ya mazingira yaliyopo?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nimejificha vipi wakati ni wajinga wasiopiga kura ndio wanatoa room na fursa ya rigging kwa kupigiwa kura zao!.
P
Mkuu unazuiaje kuenguliwa mgombea. Nani wakala wa ''giza''
Unazuaiaje Polisi anayekuja kujaza kura feki. Kwanini kura zisihesabiwe vituoni.

rigging ya Tanzania siyo ''isolated incident, but criminal syndicate''

Kura ya Mwananchi haina thamani, hata CCM walithibitisha kwa kusema '' yale ya 2020 hayatajirudia'
 
Nani anajali hilo, unadhani kuna anayejali hayo mambo ya idadi kwa sasa? Tungekuwa na mahakama huru wangalau ungekuwa na hoja. Kwa mahakama hizi zilizokaa na kesi ya kina Mdee zaidi ya miaka mitatu bila hukumu, wakati ya urais hapo Kenya haikuchukua hata miezi mitatu na hukumu tayari, ndio utapeleka malalamiko ya uchaguzi upate haki?
Namshangaa sana P, ni kama hajaishi Tanzania. CCM ni wazuri wa ''design'' za uchaguzi si maendeleo.

1. Waliondoa mshindi kupata 51% wakaweka ''winner takes all'' . Kwamba 20% inatosha mtu kuwa Rais
2. Waka design kufuta uchaguzi kama alivyofanyika 1995 Dar es Salaam na kurudiwa Zanzibar na Jecha
3. Sasa hivi wamekataa kura za mtaa kuhesabiwa eneo husika ili waweze kuiba on the way
4. Ukipiga kura unatakiwa kuondoka, ili waweze kujaza maboksi na kura feki kadri wanavyotaka
5. Wanaengua wagombea ili wabaki wenyewe na 'giza'' halafu hakuna wakala wa giza
6. Wana apisha mawakala ili kuleta ugumu na kuwapa mawakala wao fursa pekee vituoni

Katika mazingira haya thamani ya KURA ya Mwananchi ipo wapi!
 
Mkuu unazuiaje kuenguliwa mgombea. Nani wakala wa ''giza''
Unazuaiaje Polisi anayekuja kujaza kura feki. Kwanini kura zisihesabiwe vituoni.

rigging ya Tanzania siyo ''isolated incident, but criminal syndicate''

Kura ya Mwananchi haina thamani, hata CCM walithibitisha kwa kusema '' yale ya 2020 hayatajirudia'
Jamaa hana hoja yenye mantiki!

Idadi kubwa ya watu wakisusia kushiriki uchaguzi, CCM watakuwa na matilaba [motive] gani ya kuiba kura?

Somebody make it make sense 🤣.

Kura zinaibwa pale ambapo ushindani ni mkali na ambapo mazingira ya wizi na uchakachuzi yanaporuhusu.

Sasa turnout ya upinzani iwe ndogo huku ya CCM iwe kubwa kushinda ya upinzani, halafu CCM bado iibe kura? How? Why? Au labda CCM ni kleptomaniacs?

Sisi tunaopinga kushiriki uchaguzi chini ya mazingira ya sasa, tunafanya hivyo kwa kutambua kwamba endapo ushindani utakuwa mkali, mazingira yaliyopo yanatoa mwanya mkubwa sana kwa uchakachuzi kufanyika kwa upande wa CCM.

Tunataka yawepo mazingira yasiyotoa upendeleo kwa upande wowote ule.

Hatutaki kuona wagombea wa uchaguzi wakiunda tume ya uchaguzi itayosimamia uchaguzi ambao na wao wanashiriki.

Huyo Pasco ndo maana huwa anajipa ujiko wa kutabiri mambo ambayo ni dhahiri kwa wote 🤣.

Hana kabisa mantiki. Eti wapinzani wakisusia CCM ndo itapata mwanya wa kuiba kura…..how?

🤣
 
No mimi sii miongoni mwa manabii Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa! ila mimi ni mtazamaji mzuri, yaani, good observer mwenye a third eye, msikilizaji mzuri anayesikia.the voices from within na ni muongeaji mzuri mwenye kauli umba!. "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia
P
Bro, mimi binafsi nina kumis sana kule kwenye kipindi chako cha enzi zile za miaka ya 90 kile cha KITIMOTO. Nina hakika hata ile nyama yetu pendwa ya mkuu wa meza, ilitokana na kipindi chako ambacho ulikua ukikirusha lice kupitia kwenye one of the biggest hotels in Dar. Kwenye maandishi huku kaka sio wito wako, sawa sawa na Kubenea; Kubenea akiandika jambo yaani unaona kabisa, yes, hapa kuna mwandishi wa habari za kiuchunguzi, lakini same Kubenea akiruhusu kinywa chake kiseme kitu hasa za siasa kule bungeni, unaona kama una kina Kubenea 2 tofauti, yule mwandishi na Kubenea msemaji. 😢 😭
 
Kiukweli ni ujinga na mawazo ya kijinga kususia uchaguzi. Kuna vitu vinahitaji tuu uelimishaji.

Balot papers zinakuwa printed kwa idadi ya registed voters. Rigging inafanyika kwa ku register idadi kubwa ya wapiga kura, kisha hizo kura zinapigwa.

Kama all the eligible, voters watajiandikisha, na watajitokeza kupiga kura, there will be no rpom for rigging! Thamani ya Kura Yako: Je Wajua Wewe Ndiye Mwajiri wa Rais wa JMT kwa Kura Yako na Kumlipa Mshahara Wake Yeye na Serikali Yake Yote kwa Kodi Yako?. na Thamani ya kura yako ni sauti yako, nguvu yako

Hawa jamaa zangu nimewashauri Ushauri wa Bure Chadema: Moja shika sii Kumi nenda rudi! Hoja ya Reforms japo ni hoja ya msingi sana kufanya maandalizi ya Uchaguzi ni busara muhimu!
P
Bro tunao kufahamu kitambo tuna uhakika haya maandishi umeyaandika tu ili kujilinda na mambo fulani fulani, lakini UBONGO wako unayakana kabisa haya maandishi. Kwa ufupi umeandika usicho kiamini
 
Bro, mimi binafsi nina kumis sana kule kwenye kipindi chako cha enzi zile za miaka ya 90 kile cha KITIMOTO.

Kwenye maandishi huku kaka sio wito wako, sawa sawa na Kubenea; Kubenea akiandika jambo yaani unaona kabisa, yes, hapa kuna mwandishi wa habari za kiuchunguzi, lakini same Kubenea akiruhusu kinywa chake kiseme kitu hasa za siasa kule bungeni, unaona kama una kina Kubenea 2 tofauti, yule mwandishi na Kubenea msemaji. 😢 😭
Mkuu Makwi, Makwizi Band kwanza asante sana, usemayo ni kweli, kipaji changu ni kwenye broadcast journalism and talk show host.
Mimi huwa nafarijika sana ninapokutana na wale wa longi wanaonijua toka enzi za Kiti Moto.

Huku kwenye print ni nalazimisha tuu tena huwa naandika kwa taabu sana!.
P
 
Uchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!

“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.
Tutakupa credit.
Moja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.

Anaibuka mtu anasema “voices from within” zinamwambia kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi ujao.
Uko sahihi
Na kweli, baada ya uchaguzi Samia anatangazwa kuwa mshindi halafu wanaibuka wapumbavu na kuanza kumsifia huyo aliyedai “voices from within” zilimwambia kuwa Samia atashinda!
Uko sahihi tena
Hao ndo Watanzania bana. Na hizo ndo akili zao.

Nikitabiri kuwa mwaka kesho, 2026, mvua zitanyesha kwenye sehemu mbalimbali nchini, na ikatokea zikanyesha kweli, kuna mazuzu wataniona mimi ni genius 🤣.

Predicting the obvious is not genius.
Kabisa
Sasa basi, kwa sababu wote tulio na akili timamu na tulio wahalisia wa mambo tunajua kwamba Rais Samia na CCM watashinda kwa kiwango kikubwa sana, binafsi nina swali:

Kuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?
1. Kushiriki kunakupa platform ya kuonyesha na kukusanya ushahidi wa malfeasance itakayoendelea.
2.Siku zinavyoenda itabidi wa resort kwenye measures ambazo ni za ajabu ambazo zitazidi kuthibitisha kuwa hawako serious.
3. Ni ku call their bluff. Na kuwaonyesha kuwa haijalishi unavyoonewa utaendelea kupambana.
Kuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?
Tija ni kuthibitisha kwa vitendo kuwa hawezi kutenda haki. Ni yale yaliyotokea 2020 ndio yanawapa nguvu watu kusema kuwa Reforms ni lazima. Vyama vya upinzani visingeshiriki pasingekuwa na ushahidi wa hujuma zinazo fanyika.
Kwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?
Ni kukataa kuwa intimidated. Wakina Mandela, King, Gandhi n.k. walikataa kuwa intimidated na wenye nguvu na waliwaonyesha kuwa wako tayari ku pay whatever price ili watu wao watendewe haki. Kukaa nyumbani should not be an option. Uwepo wao kwenye polling station kutafanya malalamiko yao kuwa valid kama watadhulumiwa.
Ngoja nifanye utabiri mwingine. Itakuwa hivi:

Kwa wale wataoshiriki kwenye huo uchaguzi, Rais Samia akishatangazwa kuwa mshindi, watalalamika kuwa wameibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa wa huru wala haki.
Hiyo ni haki yao kama kweli itakuwa hivyo. Utabiri wangu ni kuwa uchaguzi huu utakuwa wa haki na uwazi kuliko chaguzi zilizopita kwa sababu mpinzani anayeogopwa hatakuweko ndani ya ring. Ni wakati muafaka kwa wenye mamlaka kuonyesha kuwa wanakubalika. Wapinzani watakao shiriki watashinda ( sio kwa kupewa) viti vya kutosha kulipa Bunge uhalali. Wakiresort kwenye mambo ya 2019, 2020 na 2024 watakuwa wamepoteza nafasi adimu sana.
Uchaguzi kutokuwa wa huru wala haki ni jambo ambalo wanalifahamu fika kabisa kabla hata uchaguzi haujafanyika.

Licha ya kufahamu yote hayo, bado wapo watu ambao watashiriki huo uchaguzi na baadaye wataanza kulalamika.
Ni haki yao kufanya hivyo kwa sababu watakuwa na ushahidi. Wale watakao susia hawatakuwa na haki ya kulalamika maana hawatakuwa na ushahidi wa dhulma yeyote.

Sasa kuna tija gani ya kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaliyopo halafu baadaye unaanza kulialia kuwa umeibiwa kura?
Kuna tija sana maana kutathibitisha kuwa chui hana mpango wa kubadilisha madoa yake. Na chui atajua kuwa hata afanye nini hawakati tamaa.
I don’t want to hear any of you crying about the unfairness of the election after it’s over.
Utatusikia tu.
Nani anabisha kuwa Rais Samia atashinda?
Nakubaliana na wewe. Tena kwa kishindo maana hamna Presidential candidate atakayeweza kumsumbua. Lissu angeweza lakini amejipiga mwenyewe risasi ya mguu. Chaumma na ACT-WAZALENDO wataconcentrate kwenye ubunge, udiwani na kupata kura za kutosha ili wapate ruzuku itakayo wasaidia kujitayarisha kwa kinyang'anyiro cha 2030 ambacho hakitakuwa na incumbent.

Chadema have been played. Na sijui watakubali kula matapishi yao au watasusia tena maana hamna significant reforms zitafanyika kabla ya 2030.

Amandla...
 
Bro tunao kufahamu kitambo tuna uhakika haya maandishi umeyaandika tu ili kujilinda na mambo fulani fulani, lakini UBONGO wako unayakana kabisa haya maandishi. Kwa ufupi umeandika usicho kiamini
Uwezo wa mtu kusoma maandishi na kubaini mwandishi ameandika asichoamini ni ameandika tuu furahisha genge, ni kipaji kinaitwa graphology.

Kipaji hicho sio tuu kwenye maandishi, bali hata kwa kumsikiliza mtu, akiongea, unajua kama anaongea ukweli au anadanganya.

Kiukweli kabisa, uchaguzi wa 2025 ni bonge la fursa kwa Chadema hata bila ya mabadiliko yoyote!
P
 
Ccm ndio itashinda, ila kumjua Rais ndio kizaha zaa,

Rais sio Samia amini hilo
 
Uwezo wa mtu kusoma maandishi na kubaini mwandishi ameandika asichoamini ni ameandika tuu furahisha genge, ni kipaji kinaitwa graphology.

Kipaji hicho sio tuu kwenye maandishi, bali hata kwa kumsikiliza mtu, akiongea, unajua kama anaongea ukweli au anadanganya.

Kiukweli kabisa, uchaguzi wa 2025 ni bonge la fursa kwa Chadema hata bila ya mabadiliko yoyote!
P
Mimi sio mwana chama wa chama chochote cha siasa, lakini siwalaumu Chadema kwa msimamo wao na nina mashaka na wanaowapinga Chadema. Matamshi ya wana ccm hayaoneshi kama KURA ni kitu cha maana, alisema Nape, alisema yule jamaa aliyekua DC wa kule Arusha, mama Makinda karudia juzi tu hapo, hilo ni kwa uchache; mazingira hayajabadirika hata kidogo, sheria zetu za uchaguzi ni zile zile; ni kweli Chadema ya Lissu na Heche imepolelewa vizuri na wananchi wanaweza kuwapigia KURA; now kufuatia mayamshi ya hao watu hapo ju, unawathibitishia vipi kwamba KURA zao zitaheshimiwa? Unahitaji kua na ka uwendawazimu kidogo kuamini eti HAKI inaweza kutendeka. Kama mahakamani tu danadana zinachezwa vile kwa jambo lililo wazi kabisa, case study case ya Lissu ya sasa, ile ya Mbowe na ubunge wa kina Halima Mdee, kwa tukio la siku 1 linaweza kuleta matokeo tofauti? Only stupid people will believe that
 
Mimi siwalaumu Chadema kwa msimamo wao na nina mashaka na wanaowapinga Chadema. Matamshi ya wana ccm hayaoneshi kama KURA ni kitu cha maana, unawathibitishia vipi kwamba KURA zao zitaheshimiwa? Unahitaji kua na ka uwendawazimu kidogo kuamini eti HAKI inaweza kutendeka.
Only stupid people will believe that
Naheshimu mawazo yako, ila nimeushuhudia uchaguzi wa kwanza wa Marekani, mwanamke kugombea, Trump ni kichaa fulani, na amegombea na mwanamke, Wamarekani wakaamua kuliko kumchagua mwanamke, bora wamchague kichaa!.

Fursa kama hii Lissu anayo!. Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

Na hapa Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?

P
 
Karibu vyama vyote vilivyo madarakani huwa vinafanya figisu figisu ili wasishindwe kwenye uchaguzi. Marekani mipaka ya majimbo inawekwa kiaina ili ku minimise representatives ambao chama pinzani kinaweza kupata hata wakishinda kura nyingi kuliko wenzao. Sheria na taratibu za uchaguzi zinapindishwa na kuwekwa ili wafuasi wa vyama vya upinzani washindwe au waogope kupiga kura. Yote haya yanafanyika lakini husikii chama kina susia uchaguzi. Wako wananchi wengi hawapigi kura kwa sababu wanaona uchaguzi hauna maana lakini uchaguzi unafanyika na mshindi anatangazwa.

Amandla...
 
Tutakupa credit.

Uko sahihi

Uko sahihi tena

Kabisa

1. Kushiriki kunakupa platform ya kuonyesha na kukusanya ushahidi wa malfeasance itakayoendelea.
2.Siku zinavyoenda itabidi wa resort kwenye measures ambazo ni za ajabu ambazo zitazidi kuthibitisha kuwa hawako serious.
3. Ni ku call their bluff. Na kuwaonyesha kuwa haijalishi unavyoonewa utaendelea kupambana.

Tija ni kuthibitisha kwa vitendo kuwa hawezi kutenda haki. Ni yale yaliyotokea 2020 ndio yanawapa nguvu watu kusema kuwa Reforms ni lazima. Vyama vya upinzani visingeshiriki pasingekuwa na ushahidi wa hujuma zinazo fanyika.

Ni kukataa kuwa intimidated. Wakina Mandela, King, Gandhi n.k. walikataa kuwa intimidated na wenye nguvu na waliwaonyesha kuwa wako tayari ku pay whatever price ili watu wao watendewe haki. Kukaa nyumbani should not be an option. Uwepo wao kwenye polling station kutafanya malalamiko yao kuwa valid kama watadhulumiwa.

Hiyo ni haki yao kama kweli itakuwa hivyo. Utabiri wangu ni kuwa uchaguzi huu utakuwa wa haki na uwazi kuliko chaguzi zilizopita kwa sababu mpinzani anayeogopwa hatakuweko ndani ya ring. Ni wakati muafaka kwa wenye mamlaka kuonyesha kuwa wanakubalika. Wapinzani watakao shiriki watashinda ( sio kwa kupewa) viti vya kutosha kulipa Bunge uhalali. Wakiresort kwenye mambo ya 2019, 2020 na 2024 watakuwa wamepoteza nafasi adimu sana.

Ni haki yao kufanya hivyo kwa sababu watakuwa na ushahidi. Wale watakao susia hawatakuwa na haki ya kulalamika maana hawatakuwa na ushahidi wa dhulma yeyote.

Kuna tija sana maana kutathibitisha kuwa chui hana mpango wa kubadilisha madoa yake. Na chui atajua kuwa hata afanye nini hawakati tamaa.

Utatusikia tu.

Nakubaliana na wewe. Tena kwa kishindo maana hamna Presidential candidate atakayeweza kumsumbua. Lissu angeweza lakini amejipiga mwenyewe risasi ya mguu. Chaumma na ACT-WAZALENDO wataconcentrate kwenye ubunge, udiwani na kupata kura za kutosha ili wapate ruzuku itakayo wasaidia kujitayarisha kwa kinyang'anyiro cha 2030 ambacho hakitakuwa na incumbent.

Chadema have been played. Na sijui watakubali kula matapishi yao au watasusia tena maana hamna significant reforms zitafanyika kabla ya 2030.

Amandla...
Ngoja nikuulize swali la kinadharia tu…

Tuseme CHADEMA ndo wangekuwa na mamlaka ya kuunda tume ya uchaguzi.

Yaani viongozi wengi walio waandamizi wa hiyo tume wanateuliwa na Tundu Lissu, mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni mgombea urais kupitia hicho chama chake.

Unadhani CCM wangekubaliana tu na hiyo hali na kushiriki uchaguzi kwa nguvu zao zote?
 
Uchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!

“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.

Moja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.

Anaibuka mtu anasema “voices from within” zinamwambia kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi ujao.

Na kweli, baada ya uchaguzi Samia anatangazwa kuwa mshindi halafu wanaibuka wapumbavu na kuanza kumsifia huyo aliyedai “voices from within” zilimwambia kuwa Samia atashinda!

Hao ndo Watanzania bana. Na hizo ndo akili zao.

Nikitabiri kuwa mwaka kesho, 2026, mvua zitanyesha kwenye sehemu mbalimbali nchini, na ikatokea zikanyesha kweli, kuna mazuzu wataniona mimi ni genius 🤣.

Predicting the obvious is not genius.

Sasa basi, kwa sababu wote tulio na akili timamu na tulio wahalisia wa mambo tunajua kwamba Rais Samia na CCM watashinda kwa kiwango kikubwa sana, binafsi nina swali:

Kuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?

Kuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?

Kwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?

Ngoja nifanye utabiri mwingine. Itakuwa hivi:

Kwa wale wataoshiriki kwenye huo uchaguzi, Rais Samia akishatangazwa kuwa mshindi, watalalamika kuwa wameibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa wa huru wala haki.

Uchaguzi kutokuwa wa huru wala haki ni jambo ambalo wanalifahamu fika kabisa kabla hata uchaguzi haujafanyika.

Licha ya kufahamu yote hayo, bado wapo watu ambao watashiriki huo uchaguzi na baadaye wataanza kulalamika.

Sasa kuna tija gani ya kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaliyopo halafu baadaye unaanza kulialia kuwa umeibiwa kura?

I don’t want to hear any of you crying about the unfairness of the election after it’s over.

Nani anabisha kuwa Rais Samia atashinda?

Akina Zitto na Madereka wanadai Catalina kura. Wonders never end in this world.

Kama walishindwa kulinda kura za Wenyeviti wa Vijiji, watawezaje kulinda kura za wabunge? Walau wangetuonyesha mfano mdogo tu 2024 kwenye Uchaguzi wa Mchengerwa ningewaelewa.
 
Karibu vyama vyote vilivyo madarakani huwa vinafanya figisu figisu ili wasishindwe kwenye uchaguzi. Marekani mipaka ya majimbo inawekwa kiaina ili ku minimise representatives ambao chama pinzani kinaweza kupata hata wakishinda kura nyingi kuliko wenzao. Sheria na taratibu za uchaguzi zinapindishwa na kuwekwa ili wafuasi wa vyama vya upinzani washindwe au waogope kupiga kura. Yote haya yanafanyika lakini husikii chama kina susia uchaguzi. Wako wananchi wengi hawapigi kura kwa sababu wanaona uchaguzi hauna maana lakini uchaguzi unafanyika na mshindi anatangazwa.

Amandla...
2024 Democrats walifanya figisu gani ili wasishindwe na Republicans?

Na nani huwa anaunda tume ya uchaguzi ya Marekani?

NB: kwenye mahakama za Marekani, mawakili huwa hawaulizi maswali ambayo majibu yake hawana 😉, just saying….
 
Tutakupa credit.

Uko sahihi

Uko sahihi tena

Kabisa

1. Kushiriki kunakupa platform ya kuonyesha na kukusanya ushahidi wa malfeasance itakayoendelea.
2.Siku zinavyoenda itabidi wa resort kwenye measures ambazo ni za ajabu ambazo zitazidi kuthibitisha kuwa hawako serious.
3. Ni ku call their bluff. Na kuwaonyesha kuwa haijalishi unavyoonewa utaendelea kupambana.

Tija ni kuthibitisha kwa vitendo kuwa hawezi kutenda haki. Ni yale yaliyotokea 2020 ndio yanawapa nguvu watu kusema kuwa Reforms ni lazima. Vyama vya upinzani visingeshiriki pasingekuwa na ushahidi wa hujuma zinazo fanyika.

Ni kukataa kuwa intimidated. Wakina Mandela, King, Gandhi n.k. walikataa kuwa intimidated na wenye nguvu na waliwaonyesha kuwa wako tayari ku pay whatever price ili watu wao watendewe haki. Kukaa nyumbani should not be an option. Uwepo wao kwenye polling station kutafanya malalamiko yao kuwa valid kama watadhulumiwa.

Hiyo ni haki yao kama kweli itakuwa hivyo. Utabiri wangu ni kuwa uchaguzi huu utakuwa wa haki na uwazi kuliko chaguzi zilizopita kwa sababu mpinzani anayeogopwa hatakuweko ndani ya ring. Ni wakati muafaka kwa wenye mamlaka kuonyesha kuwa wanakubalika. Wapinzani watakao shiriki watashinda ( sio kwa kupewa) viti vya kutosha kulipa Bunge uhalali. Wakiresort kwenye mambo ya 2019, 2020 na 2024 watakuwa wamepoteza nafasi adimu sana.

Ni haki yao kufanya hivyo kwa sababu watakuwa na ushahidi. Wale watakao susia hawatakuwa na haki ya kulalamika maana hawatakuwa na ushahidi wa dhulma yeyote.

Kuna tija sana maana kutathibitisha kuwa chui hana mpango wa kubadilisha madoa yake. Na chui atajua kuwa hata afanye nini hawakati tamaa.

Utatusikia tu.

Nakubaliana na wewe. Tena kwa kishindo maana hamna Presidential candidate atakayeweza kumsumbua. Lissu angeweza lakini amejipiga mwenyewe risasi ya mguu. Chaumma na ACT-WAZALENDO wataconcentrate kwenye ubunge, udiwani na kupata kura za kutosha ili wapate ruzuku itakayo wasaidia kujitayarisha kwa kinyang'anyiro cha 2030 ambacho hakitakuwa na incumbent.

Chadema have been played. Na sijui watakubali kula matapishi yao au watasusia tena maana hamna significant reforms zitafanyika kabla ya 2030.

Amandla...
Halafu Fundi, unasema washiriki uchaguzi ili waweze kukusanya ushahidi wa kile wanachodai kuwa ni figisu.

1. Je, jinsi vile tume ya uchaguzi inavyoundwa siyo ushahidi unaotosha kuonyesha kuwa hakuna level playing field?

2. Je, tokea 1995 hakuna ushahidi ambao ulishapatikana mpaka washiriki leo 2025 ndo wakusanye ushahidi?
 
Uchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!

“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.

Moja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.

Anaibuka mtu anasema “voices from within” zinamwambia kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi ujao.

Na kweli, baada ya uchaguzi Samia anatangazwa kuwa mshindi halafu wanaibuka wapumbavu na kuanza kumsifia huyo aliyedai “voices from within” zilimwambia kuwa Samia atashinda!

Hao ndo Watanzania bana. Na hizo ndo akili zao.

Nikitabiri kuwa mwaka kesho, 2026, mvua zitanyesha kwenye sehemu mbalimbali nchini, na ikatokea zikanyesha kweli, kuna mazuzu wataniona mimi ni genius 🤣.

Predicting the obvious is not genius.

Sasa basi, kwa sababu wote tulio na akili timamu na tulio wahalisia wa mambo tunajua kwamba Rais Samia na CCM watashinda kwa kiwango kikubwa sana, binafsi nina swali:

Kuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?

Kuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?

Kwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?

Ngoja nifanye utabiri mwingine. Itakuwa hivi:

Kwa wale wataoshiriki kwenye huo uchaguzi, Rais Samia akishatangazwa kuwa mshindi, watalalamika kuwa wameibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa wa huru wala haki.

Uchaguzi kutokuwa wa huru wala haki ni jambo ambalo wanalifahamu fika kabisa kabla hata uchaguzi haujafanyika.

Licha ya kufahamu yote hayo, bado wapo watu ambao watashiriki huo uchaguzi na baadaye wataanza kulalamika.

Sasa kuna tija gani ya kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaliyopo halafu baadaye unaanza kulialia kuwa umeibiwa kura?

I don’t want to hear any of you crying about the unfairness of the election after it’s over.

Nani anabisha kuwa Rais Samia atashinda?
TIJA IPO, msikilize kigegeu kwa tafiti zake, CCM ni mshindi wa kweli kwa ballot box

View: https://www.youtube.com/shorts/6vIzZM_ynXQ?t=3&feature=share
 
Naheshimu mawazo yako, ila nimeushuhudia uchaguzi wa kwanza wa Marekani, mwanamke kugombea, Trump ni kichaa fulani, na amegombea na mwanamke, Wamarekani wakaamua kuliko kumchagua mwanamke, bora wamchague kichaa!.

Fursa kama hii Lissu anayo!. Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

Na hapa Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?

P
😃 😀 😄 😁 🤣 😂 😃 bro, yaani unalinganisha Marekani na hapa kweli? Kule CIA wanaweza kumvimbia rais na hana kitu anaweza kuwafanya. Spika wa bunge la kule anaweza kuichana hotuba ya rais tena mbele yake na rais hana kitu anaweza kumfanya (rudisha kumbukumbu zako nyuma, mama Peros aliwahi kuchana hotuba ya Trump na Trump akiwa rais, still the same Trump alimpa mama Peros escort ya ndege za kivita akiwa na ziara kwenye visiwa vya Hong Kong na Taiwan)
Marekani na Wazungu (except Russia) wana dunia yao na sisi tuna yetu. In fact kwa nchi nyingi za Kiafrica, uchaguzi is just formalities tu, mtawala hadi wabunge huaga wameisha chaguliwa na wachaguzi wakuu
 
Back
Top Bottom