CCM walijifunza kwamba ushindani ukiwepo wagombea wao hawatoboi. CCM wakaja na mbinu hiziSisi tunaopinga kushiriki uchaguzi chini ya mazingira ya sasa, tunafanya hivyo kwa kutambua kwamba endapo ushindani utakuwa mkali, mazingira yaliyopo yanatoa mwanya mkubwa sana kwa uchakachuzi kufanyika kwa upande wa CCM.
Hicho tu!Tunataka yawepo mazingira yasiyotoa upendeleo kwa upande wowote ule.
Kuna ushahidi usio na shaka. Mkurugenzi wa uchaguzi 2020 sasa anagombea Butiama kwa tiketi ya CCMHatutaki kuona wagombea wa uchaguzi wakiunda tume ya uchaguzi itayosimamia uchaguzi ambao na wao wanashiriki.
Ni mwanachama na aligombea ! hatujui anapoandika ni katika nafasi gani. Mwandishi! kada au Mwanasheria.Huyo Pasco ndo maana huwa anajipa ujiko wa kutabiri mambo ambayo ni dhahiri kwa wote 🤣.
Hakuna mantiki kabisa, sasa wapo wenyewe na wana uhakika wa kushinda, kura waibe za niniHana kabisa mantiki. Eti wapinzani wakisusia CCM ndo itapata mwanya wa kuiba kura…..how?
Ni swali zuri. Unfortunately sidhani kama Chadema ya sasa inge behave tofauti na CCM. Hasa baada ya kuona purge iliyofanyika.Ngoja nikuulize swali la kinadharia tu…
Tuseme CHADEMA ndo wangekuwa na mamlaka ya kuunda tume ya uchaguzi.
Yaani viongozi wengi walio waandamizi wa hiyo tume wanateuliwa na Tundu Lissu, mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni mgombea urais kupitia hicho chama chake.
Unadhani CCM wangekubaliana tu na hiyo hali na kushiriki uchaguzi kwa nguvu zao zote?
Gerry mandering zilihakikisha kuwa Democrats hawachukui the House of Representatives za Federal Government na za States kibao.2024 Democrats walifanya figisu gani ili wasishindwe na Republicans?
Na nani huwa anaunda tume ya uchaguzi ya Marekani?
NB: kwenye mahakama za Marekani, mawakili huwa hawaulizi maswali ambayo majibu yake hawana 😉, just saying….
Haswa. Na wapate kura zozote watakazo pata.Halafu Fundi, unasema washiriki uchaguzi ili waweze kukusanya ushahidi wa kile wanachodai kuwa ni figisu.
Hautoshi. Wapinzani wasiposhiriki wataendesha uchaguzi wa wazi ili kuthibitisha kuwa kweli ni Tume Huru.1. Je, jinsi vile tume ya uchaguzi inavyoundwa siyo ushahidi unaotosha kuonyesha kuwa hakuna level playing field?
Haitoshi. Ushahidi utaendelea kukusanywa mpaka siku CCM inatoka madarakani.2. Je, tokea 1995 hakuna ushahidi ambao ulishapatikana mpaka washiriki leo 2025 ndo wakusanye ushahidi?
2015 uhuni. 2019 SM uhuni, 2020 Uhuni hadi CCM wamekiri 'haitarudiwa tena'', 2024 uhuni.1. Kushiriki kunakupa platform ya kuonyesha na kukusanya ushahidi wa malfeasance itakayoendelea.
Unahitaji chaguzi ngapi kuthibitisha?Tija ni kuthibitisha kwa vitendo kuwa hawezi kutenda haki. Ni yale yaliyotokea 2020 ndio yanawapa nguvu watu kusema kuwa Reforms ni lazima. Vyama vya upinzani visingeshiriki pasingekuwa na ushahidi wa hujuma zinazo fanyika.
Kuingia uchguzi ukijua unadhulumiwa na kura za watu hazina thamani ndio kutendewa haki!Ni kukataa kuwa intimidated. Wakina Mandela, King, Gandhi n.k. walikataa kuwa intimidated na wenye nguvu na waliwaonyesha kuwa wako tayari ku pay whatever price ili watu wao watendewe haki.
Unahitaji ushahidi wa miaka mingapi?Ni haki yao kufanya hivyo kwa sababu watakuwa na ushahidi. Wale watakao susia hawatakuwa na haki ya kulalamika maana hawatakuwa na ushahidi wa dhulma yeyote.
CCM wanaongelea CHADEMA na NRNEChadema have been played. Na sijui watakubali kula matapishi yao au watasusia tena maana hamna significant reforms zitafanyika kabla ya 2030.
Amandla...
Duh 🤣.Haswa. Na wapate kura zozote watakazo pata.
Hautoshi. Wapinzani wasiposhiriki wataendesha uchaguzi wa wazi ili kuthibitisha kuwa kweli ni Tume Huru.
Haitoshi. Ushahidi utaendelea kukusanywa mpaka siku CCM inatoka madarakani.
Amandla...
Huko Zanzibar, kwa mfano, tayari tumeshaona vile ambavyo CCM hutumia dola kuyabadilisha matokeo ya uchaguzi!2015 uhuni. 2019 SM uhuni, 2020 Uhuni hadi CCM wamekiri 'haitarudiwa tena'', 2024 uhuni.
10 Years haitoshi kwa ushihidi hadi 2025!!
Unahitaji chaguzi ngapi kuthibitisha?
Kuingia uchguzi ukijua unadhulumiwa na kura za watu hazina thamani ndio kutendewa haki!
Unahitaji ushahidi wa miaka mingapi?
CCM wanaongelea CHADEMA na NRNE
ACT wanaongelea CHADEMA na NRNE
CHAUMMA wanaongelea CHADEMA NRNE
Mazungumzo katika jamii ni ushiriki wa CHADEMA. Hii ina maana moja, NRNE inawatatiza CCM
Jiulize kwanini CCM hawaongelei mafanikio ya miaka 60 madarakani
Kwanini ACT hawaongelei operesheni maji maji na serikali ya nusu mkate
Kwanini CHAUMMA hawaongelei Ubwabwa na wametoweka
Kupiga kura ni kupoteza muda tuNyani Ngabu upo sahihi sina hoja ya kukupinga mkuu..
Hakuna tija kabisa! Nashauri wapinzani siyo tu wasusie bali waachane na siasa kabisa na wavunje vyama vyao waje tushirikiane kulima tuendeleze gurudumu la maendeleo kwa namna nyingine!!Uchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!
“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.
Moja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.
Anaibuka mtu anasema “voices from within” zinamwambia kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi ujao.
Na kweli, baada ya uchaguzi Samia anatangazwa kuwa mshindi halafu wanaibuka wapumbavu na kuanza kumsifia huyo aliyedai “voices from within” zilimwambia kuwa Samia atashinda!
Hao ndo Watanzania bana. Na hizo ndo akili zao.
Nikitabiri kuwa mwaka kesho, 2026, mvua zitanyesha kwenye sehemu mbalimbali nchini, na ikatokea zikanyesha kweli, kuna mazuzu wataniona mimi ni genius 🤣.
Predicting the obvious is not genius.
Sasa basi, kwa sababu wote tulio na akili timamu na tulio wahalisia wa mambo tunajua kwamba Rais Samia na CCM watashinda kwa kiwango kikubwa sana, binafsi nina swali:
Kuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?
Kuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?
Kwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?
Ngoja nifanye utabiri mwingine. Itakuwa hivi:
Kwa wale wataoshiriki kwenye huo uchaguzi, Rais Samia akishatangazwa kuwa mshindi, watalalamika kuwa wameibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa wa huru wala haki.
Uchaguzi kutokuwa wa huru wala haki ni jambo ambalo wanalifahamu fika kabisa kabla hata uchaguzi haujafanyika.
Licha ya kufahamu yote hayo, bado wapo watu ambao watashiriki huo uchaguzi na baadaye wataanza kulalamika.
Sasa kuna tija gani ya kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaliyopo halafu baadaye unaanza kulialia kuwa umeibiwa kura?
I don’t want to hear any of you crying about the unfairness of the election after it’s over.
Nani anabisha kuwa Rais Samia atashinda?
Dah una hasira sana 🤣Hakuna tija kabisa! Nashauri wapinzani siyo tu wasusie bali waachane na siasa kabisa na wavunje vyama vyao waje tushirikiane kulima tuendeleze gurudumu la maendeleo kwa namna nyingine!!
Sina haja ya kukujibu kwa sababu unachotaka ni kubishana tu. Hamna namna tutaweza kukubaliana kwa hiyo ni kupotezeana tu muda.2015 uhuni. 2019 SM uhuni, 2020 Uhuni hadi CCM wamekiri 'haitarudiwa tena'', 2024 uhuni.
10 Years haitoshi kwa ushihidi hadi 2025!!
Unahitaji chaguzi ngapi kuthibitisha?
Kuingia uchguzi ukijua unadhulumiwa na kura za watu hazina thamani ndio kutendewa haki!
Unahitaji ushahidi wa miaka mingapi?
CCM wanaongelea CHADEMA na NRNE
ACT wanaongelea CHADEMA na NRNE
CHAUMMA wanaongelea CHADEMA NRNE
Mazungumzo katika jamii ni ushiriki wa CHADEMA. Hii ina maana moja, NRNE inawatatiza CCM
Jiulize kwanini CCM hawaongelei mafanikio ya miaka 60 madarakani
Kwanini ACT hawaongelei operesheni maji maji na serikali ya nusu mkate
Kwanini CHAUMMA hawaongelei Ubwabwa na wametoweka
JF ni user generated forum, members wako free kuchangia chochote, hivyo mimi nachangia freely as jf member, ukada wangu wa CCM ni kwenye vikao vya CCM na sio humu jf..
hatujui anapoandika ni katika nafasi gani. Mwandishi! kada au Mwanasheria.
Nisichokielewa ni mnategemea kupata nini kwa kutoshiriki kwenye uchaguzi? Kuwa CCM watajisikia vibaya na kubadilika? Kuwa watu wataacha kupotea kwa sababu Chadema haikushiriki kwenye uchaguzi.Huko Zanzibar, kwa mfano, tayari tumeshaona vile ambavyo CCM hutumia dola kuyabadilisha matokeo ya uchaguzi!
Ushahidi upo mwingi mno!
Tokea 1995 mnashiriki kwenye hizo sham elections…..mlichokipata ni nini?Nisichokielewa ni mnategemea kupata nini kwa kutoshiriki kwenye uchaguzi? Kuwa CCM watajisikia vibaya na kubadilika? Kuwa watu wataacha kupotea kwa sababu Chadema haikushiriki kwenye uchaguzi.
Huko huko Zanzibar walioathirika zaidi na matumizi ya dola bado wanaendelea kushiriki kww ye uchaguzi. Wao sio wajinga.
Ushahidi utaendelewa kukusanywa ili wasijifanye kuwa wamebadilika. Itafika siku kutakuwa na mabadiliko. Hata kama baada ya miaka 20.
Amandla...
And what is the alternative? Kuendelea na mikutano ya NRNE mpaka lini?Tokea 1995 mnashiriki kwenye hizo sham elections…..mlichokipata ni nini?
Kutokushiriki kwenye sham elections ni moja ya njia za kuifanya serikali iliyopo ikose uhalali.
Kila mtu mwenye akili timamu anatambua kwamba kushiriki kwenye uchaguzi ambao chama tawala ndicho kinachounda chombo kinachoendesha na kusimamia chaguzi ambazo chama tawala nacho kinashiriki, ni umajinuni.
CCM kamwe hawatokubali CHADEMA ndo waunde tume ya uchaguzi halafu CHADEMA hao hao washiriki kwenye chaguzi ambazo zitaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo wameiunda wao.
So why should CHADEMA continue to take part in sham elections?
Hakuna alternative zaidi ya kuacha kuipa uhalali CCM na serikali zake.And what is the alternative? Kuendelea na mikutano ya NRNE mpaka lini?
Amandla...
Ndio maana nilimuuliza, ushahidi wa chaguzi ngapi unahitajika!Tokea 1995 mnashiriki kwenye hizo sham elections…..mlichokipata ni nini?
Right on!Kutokushiriki kwenye sham elections ni moja ya njia za kuifanya serikali iliyopo ikose uhalali.
Kila mtu mwenye akili timamu anatambua kwamba kushiriki kwenye uchaguzi ambao chama tawala ndicho kinachounda chombo kinachoendesha na kusimamia chaguzi ambazo chama tawala nacho kinashiriki, ni umajinuni.
Kwa kususia uchaguzi? And you really believe they will care?Hakuna alternative zaidi ya kuacha kuipa uhalali CCM na serikali zake.
How? Baada ya mwaka bila tangible results watu watakuwa bored maana itakuwa repetitive. Mpaka sasa hivi dalili za fatigue zimeanza kuonekana. Badala ya kuzungumzia substantive issues kama No Elections itakuwa realised vipi, wazungumzaji wanabaki kuwanyooshea vidole watu kama Susan Kiwanga. Wafuasi wao, cowards that they are, have been reduced to kuwafanyia fujo Chaumma badala ya CCM. Na the joke is, inafanyika kwa fadhila ya CCM.Mikutano ya NRNE ni necessary. Inaelimisha watu.
Really? Watu ambao mlitaka changes zifanyike ndani ya mwaka mmoja? You over sold the whole thing. By next year, itabakia X too and wananchi would have moved to the next bright thing. Wananchi ni fickle. Tayari wamemsahau Mdude ambae alipambana sana kwa ajili yao. Kesi aliyofungua mke wake dhidi ya serikali has been thrown with narry a peep from his party na followers wake. Imeachiwa family yake kupambana. Kama ilivyo kwa family za wale wote walioumizwa wakati wakipigania chama chao.However long it takes, so be it. Nobody said it would be easy. Nobody expected it to be an overnight thing.
Chadema hawawezi. Hii sio vita ya chama kimoja. Badala ya ku join forces na wengine wao wana wa antagonise. Na hata huo mpambano ni more like grandstanding isio na effect yeyote.Wanachokipigania CHADEMA hivi sasa, kimechelewa kwa zaidi ya miaka 30 sasa.
Na unadhani italetwa na presa from the comfort of their homes? Ukiondoa viongozi wachache na keyboard warriors there is a serious lack of passion about the whole thing.Mambo ya level playing field yalipaswa kufanyika mwaka 1992 tulipoamua kubadili mfumo wa kisiasa.
Hata wajapan wameacha mambo ya harakiri. The first order of business kwa CCM ni kuhakikisha kuwa wanaendelea kushika dola milele na milele. Hawawezi kupitisha kitu ambacho kitakuwa ndio mwisho wao. Na hii cowardly move ya NRNE haiwanyimi usingizi. Angalau Mbowe na wafuasi wake walikuwa out there in the streets and in their faces. Pamoja na kuwekwa mahabusu, rumande na hata jela waliendelea kupambana.Na naamini CCM na serikali yao ya wakati huo walikuwa wanajua wanachokifanya na ndo maana hawakuyaleta hayo mabadiliko ya kikatiba na kisheria.