GE2025 Kuna tija gani ya kushiriki Uchaguzi chini ya mazingira yaliyopo?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Dah una hasira sana 🤣
Kabisa mkuu! Badala kunung'unika hovyo ni bora watafute kazi mbadala na waachane na siasa kabisa! Huo ni mtazamo wangu!

Naona kama ni hasara kuendesha siasa za mfumo wa vyama vingi! Tunatoa ruzuku ili vyama pinzani vifanye kazi zao za kuikosoa na kuirekebisha serikali lakini serikali haitaki kukosolewa! Ni bora tupige chini mfumo huo na mipesa ya ruzuku tuilekeze kwenye kazi nyingine zenye kwa taifa!
 
H
Hakuna tija
 
 

Attachments

  • REKODI-MPYA-TRA.png
    415 KB · Views: 13
  • VIWANA-ELFU-30.png
    361.8 KB · Views: 21
  • WACHIMBAJI.png
    410.2 KB · Views: 19
Speculative
 
Mwaka huu watagawa hadi wali na free wifi vituo vya kupiga kura, sasa wewe baki nyumbani
 
Voice from within ni kama Voice from without
Hakuna uchaguzi bila reforms!
 
Watu wanahoji thamani ya kura yao ipo wapi?
Thamani ya kura ni kuhesabiwa, pili kushindanishwa! Ikiwa kuna kura za kufoji thamani ya kura ipo wapi?

Kuna mtangazaji Oscar ! anasema CHADEMA wanawanyima wananchi uwakilishi kwa miaka 5 na 5 ijayo.
Kama miaka 5 iliyopita walienguliwa, walipigwa na kuibiwa kura anawalaumu vipi kwa kutowakilisha Wananchi.

Oscar anataka majina katika sanduku la kura, lakini hajiulizi kura ya Mwananchi huyo ina thamani!

ACT Wazalendo wanashambulia CHADEMA kwa NRN,. ACT hawaelezi watalindaje kura ikiwa sheria inasema baada ya kupiga kura ondoka kituoni. Watalindaje kura zinazohesabiwa kusikojulikana. Watalindaje kura wakiwa na mawe! Polisi wana SMG!

Suala si ku tiki, ni je kura ya Mwananchi inathamani? Inahesabiwa na kushindanishwa!
Kwa mazingira yaliyopo, kura ya Mwananchi inathamani?
 
Hata sioni h
Hata Sioni haja
 
Nakubaliana na wazo lako..tupaki na chama kimoja au kufumua vyama vyote na kuunda upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…