TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Nishasema Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega!.
Kiukweli ndugu zangu tangu mods wanaiondoe kwenye jukwaa la michezo toka Simba alipokula kipigo cha Goli 5 - 1 Kutoka kwa hasimu wake Young Africans,Mods walinifungia kwenye jukwaa la Sports eti kwasababu zilizotolewa za " Maneno ya kukera na kuudhi",niliamua kukubaliana na maamuzi yao kwasababu hii forum imejaa Rushwa na Uonevu wa Kupindukia siku hizi baada ya serikali kupenyeza mahela kwa wamiliki,Mods wanafuata wanachoambiwa na wamiliki!.
Tukiachana na hilo ni kwamba,Tangia hii michuano ianze Tarehe 13.1.2024 ni timu moja pekee ambayo inakwenda kutia aibu kwenye hii michuano kwa kupokea kipigo kikali cha mabao 4 - 0.
Kiukweli hiyo timu kila shabiki mpenda mpira anahifahamu na wala hakuna haja ya kuhangaika!.
Mimi nasubiri tu wakamilishe ratiba na warudi kwenye nchi yao ambayo watakuta kina NALIA NGWENA & Kalpana wakiwasubiri kwa bashasha!