eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,321
ROSE MHANDO: " NIBEBE, NIBEMBELEZE mikononi mwako ( refa) niwe salama.Kwa hiyo makosa yakifanyika sheria isitumike?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ROSE MHANDO: " NIBEBE, NIBEMBELEZE mikononi mwako ( refa) niwe salama.Kwa hiyo makosa yakifanyika sheria isitumike?
Kabisa 100%.Kadi nyekundu zinatokana na ahadi ya boss wenu kwa hivi vitimu... wachezaji wao wanatumia nguvu sna ili tu watoe draw au washinde wapate kifuta jasho kutoka kwa tajili yenu matokeo yake wanaishia kuambulia kadi nyekundu... na wakiendelea watapat nyekundu nyingi sana msimu huu
Ahadi za GSM za million 15 kwa 10 zitawapa sana kadi haoMtaendelea kupiga porojo ivyo ivyo mnashindwa kukiri timu yenu mbovu mkikung'utwa mnakuja na ngonjera nyingine apa, kila timu inaikamia simba kuanzia mechi za preseason mpaka sasa mnakamiwaga tu, mnategemea magoli ya aina ile kwakuwa timu aina mipango ya kutengeneza magoli ivyo ni mpaka timu nyingine apungue mchezaji mmoja ndo mpate nafasi ya kujimwambafai bila ivyo mambo magumu
Nyie kila mkifungwa na Simba mmechezewa hamjawahi zidiwa co?..kuwa Yanga kazi sana.Unakimbilia reference ya msimu uliopita kwenye mechi ambayo yule mhindi wenu alikuwa ashacheza michezo yake aliyokuwa anafanya, mwambieni aicheze tena iyo michezo msimu huu akione cha moto