Mtaendelea kupiga porojo ivyo ivyo mnashindwa kukiri timu yenu mbovu mkikung'utwa mnakuja na ngonjera nyingine apa, kila timu inaikamia simba kuanzia mechi za preseason mpaka sasa mnakamiwaga tu, mnategemea magoli ya aina ile kwakuwa timu aina mipango ya kutengeneza magoli ivyo ni mpaka timu nyingine apungue mchezaji mmoja ndo mpate nafasi ya kujimwambafai bila ivyo mambo magumu