Kuna timu ilipigwa 4-0 South Africa ikiwa imevaa jezi inayosomeka “Visit Tanzania”

Kuna timu ilipigwa 4-0 South Africa ikiwa imevaa jezi inayosomeka “Visit Tanzania”

Kaizer Chief 4 - simba sc 0
tuwe makini kuna wakati tunafukuza watalii bila kujijua
Wakati huo inacheza, hiyo ilikuwa ni mechi ya nne ugenini. Sasa utopolo mechi moja na ya mwisho tu, tangazo la nini?
 
Goli moja wanataka kupindua meza wangepigwa nne kama sisi si wangepindua nchi
 
Umesahau mlivyofungwa mbele ya samia? Hivi hiyo aibu mnadhani itafutika?
Aaah hii aibu inaweza kufutika maana ni mashindano ya ndani.Vipi hii ya kualika mgeni akakufunga huoni hiyo ni hatari maana utajulikana ndani na nje ya mipaka ya nchi😏😏
 
Aaah hii aibu inaweza kufutika maana ni mashindano ya ndani.Vipi hii ya kualika mgeni akakufunga huoni hiyo ni hatari maana utajulikana ndani na nje ya mipaka ya nchi😏😏
Ahaaaaa kaaa kwa kutulia leo tunawanyoosha.bugati wetu ashafika😂😂😂
 
Ahaaaaa kaaa kwa kutulia leo tunawanyoosha.bugati wetu ashafika😂😂😂
kumbe li bugati siku hizi linapata namba kwenye first squad yenu?🤣🤣 kama ndo hivo basi ngoja nkae kwa kutulia kweli.Ila sisi hashtag yetu leo ni #Go Rivers United #one team one dream🦁🦁
 
Back
Top Bottom