Kuna timu imetoka pre season wachezaji wana vitambi

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,507
Reaction score
4,943
Wakati wengine wakiendelea kujiimarisha na kujiweka sawa kuukabili msimu ujao, Kuna timu ilienda kuweka kambi hotelini na kujikita katika zoezi la swimming, huku wakicheza na timu za bodaboda wa kiarabu.

Msimu ukianza tusisikie
'GSM ANAHARIBU LIGI'

TUTAKUWEPO
 
Kule hakuna Pre season ule ni Mradi wa BOSS na mwenye hotel kupiga 10% kila msimu.
Wanarudi pre season unakuta wachezaji wanacheza dk 70 tu.
Kuanzia dk ya 71 wanakata Pumzi😀😀
 
Wakati wengine wakiendelea kujiimarisha na kujiweka sawa kuukabili msimu ujao, Kuna timu ilienda kuweka kambi hotelini na kujikita katika zoezi la swimming, huku wakicheza na timu za bodaboda wa kiarabu.

Msimu ukianza tusisikie
'GSM ANAHARIBU LIGI'

TUTAKUWEPO
Inaumiza sana ukizingatia wewe unakula mlo mmoja wa mihogo mikavu ya kuchemsha(refer maneno ya Hersi)au kuvizia supu ya jumuiya itolewayo kwa mwaka mara moja.
 
JAKAYA alisema wachawi walishakufa sasa huyu katoka wapi? AU NDIO WANAZALIWA TENA?
 
Inaumiza sana ukizingatia wewe unakula mlo mmoja wa mihogo mikavu ya kuchemsha(refer maneno ya Hersi)au kuvizia supu ya jumuiya itolewayo kwa mwaka mara moja.
Na bado Tunawagonga kwa ground na vikombe tunabeba 😂😂😂
 
Back
Top Bottom