MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Inaumiza sana ukizingatia wewe unakula mlo mmoja wa mihogo mikavu ya kuchemsha(refer maneno ya Hersi)au kuvizia supu ya jumuiya itolewayo kwa mwaka mara moja.Wakati wengine wakiendelea kujiimarisha na kujiweka sawa kuukabili msimu ujao, Kuna timu ilienda kuweka kambi hotelini na kujikita katika zoezi la swimming, huku wakicheza na timu za bodaboda wa kiarabu.
Msimu ukianza tusisikie
'GSM ANAHARIBU LIGI'
TUTAKUWEPO
JAKAYA alisema wachawi walishakufa sasa huyu katoka wapi? AU NDIO WANAZALIWA TENA?Wakati wengine wakiendelea kujiimarisha na kujiweka sawa kuukabili msimu ujao, Kuna timu ilienda kuweka kambi hotelini na kujikita katika zoezi la swimming, huku wakicheza na timu za bodaboda wa kiarabu.
Msimu ukianza tusisikie
'GSM ANAHARIBU LIGI'
TUTAKUWEPO
Na bado Tunawagonga kwa ground na vikombe tunabeba πππInaumiza sana ukizingatia wewe unakula mlo mmoja wa mihogo mikavu ya kuchemsha(refer maneno ya Hersi)au kuvizia supu ya jumuiya itolewayo kwa mwaka mara moja.
Pamoja na hayo,kuwaonea wivu wanaume wenzako ni dalili na kiashiria kibaya sana.Na bado Tunawagonga kwa ground na vikombe tunabeba πππ
Uto wakifanikiwa kuwafunga Madunduka magoli kuanzia 4, waweke hili BANGO.Tupate tangazo kutoka kwa wa wadhamini kidogo.View attachment 3458322
Kabeeeeeesa lo!