Kuna Timu inapanga kucheza Mechi 2 au 3 za Kirafiki ili Kutuliza Mashabiki wake na Tano Tano za Wanaojua Tanzania

 
Hiyo timu inayojua mbona ilishachakazwa goli 5 na timu uliyoisahau jina

Mbona pale mkwakwani zilikutana na hizo goli tano haikutokea hata moja?
Wakina Mangungu wanawapenda mashabiki maandazi kama wewe ndio maana wakawaletea wakina konde boy
 
Teh teh teh eti zinajifunza,kweli Rage aishi miaka mingi
 
Aahaaaaaa
 
Mkuu uwe unarudia kusoma nyuzi zako za nyuma kabla ya kuachia mwingine!!, Unaongoza kuandika nyuzi zinazkokinzana na mawazo yako kabisa... Wasiwasi wangu nikuwa uliwahi kuugua kichaa ukapona kidogoo sasa usippwahi kunywa dawa akili zako ndio zinakuwa zile za kishirikina na kupongeza uongozi wa Simba kuiba mchezaji Airport japo hakuwa kwenye mipango ya kocha. Ila ukiwa kunywq dawa basi akili zako ndio hizi za asili kabla ya kichaa kupanda.
 
Km kumfunga mtu tano ni kujua basi simba ashamfunga mtu saba mara kibao tuu..tujadilini soka wazee
 
Mkiingia kwenye 18 zetu nyie timu mliojisahau jina tunawapa 7G.Itawatosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Mrudishe 5 tulizowapa 2012.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
SIKUUELEWA USAJILI WA SIMBA MDA MREFU SANANILIUKATAA HAPA JUKWAANI.


mashabiki WA Simba na Wana JF wenzangu mkanikataa.

JAMII Forum ndio INATAKIWA aiwe REJEA kwa VIONGOZI wote Tanzania kuanzia RAIS HADI MJUMBE.

Kama JF Simba Tungetoa maoni yetu na kuwasilisha kwa Uongozi Yale tunayotaka yafanyike kuepusha AIBU tunayoenda kuipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…